Rais Handsome

Rais Handsome

jason

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
315
Reaction score
165
1430755965643.jpg
Rais wetu kachukua namba 1
 
Nyerere alishawahi kuwajibu wale waliokuwa wanaangalia sura za wagombea kwa kusema.. ""Mnatafuta sura nzuri kwani mnaenda kuoezesha..."
 
Halafu ndio rais wa tano awe kile kibabu kilichopooza mkono thubutuuuuu
 
Kuleni sura yake basi na pengine hiyo sura itapunguza deni la Taifa!! UJUHA mtupu!!!
 
Kuleni sura yake basi na pengine hiyo sura itapunguza deni la Taifa!! UJUHA mtupu!!!

hahahaha watu wana hasira humu duuuh!! kwani rais kuwa na macho typikal ya mla kijiti kama yule jirani yetu ndo inapunguza hilo deni?!
 
Lakini tuache roho mbaya Mr president ni Handsome 🙈, mrefu na ile smile Yake ooooooo🙆 ananimalizaa ....
 
Back
Top Bottom