Rais hana hotuba mpya, zote zilipendwa!

Ha ha ha ha haaaaaa ... nimecheka mpaka nikahisi napoteza faham ...

... "Sumu ya ya panya - Sumu yapanya Kunguni Virobotooo!! Sumu ya panya! Dawa ya Mbu, Mapunye, Mende, Sisimizi zinapapatikana hapa!!!

Ha ha ha ha haaaaa ..... ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.....!!!!!
 
Miaka miwili anajigamba kununu ndege, wafanyakazi hewa etc utadhani ndio watz walikosa.
 
gentamycine katika lugha na stadi ya mawasiliano, hotuba inatakiwa izungumzie event/tukio ulilokwenda kuhutubia na pia inatakiwa iendane na watu uliokwenda kuwahutubia.

Ukienda kuhutubia kwenye mahafali ukaanza kuleta hotuba za mahubiri ya dini watu itabidi wakushangae kidogo.

Au umealikwa tamasha la michezo wewe unaenda kuhutubia mambo ya upatkanaji wa dawa itashangaza.

Hotuba inatakiwa iegamie kwenye context/muktadha

Sasa event ya jana mhusika ni rais na wanajesh

Wengne wote ni waalikwa na watazamaji tu.

Hvyo mr presidaa alitakiwa aandae hotuba itakayojikita kwenye kwenye shughuli za ulinzi na usalama....
 
Umeniwahi nilitaka kupost mawazo kama ya kwako
Hata Mimi bro, yaani mpaka Ina boa, viwandani vyote watu wamepunguzwa kazi na vingine kufungwa kabisa, mzunguko wa pesa ni O wafanyabiashara wako hoi, bank hazitoi mikopo, bandarini pako hoi, viwanja vya ndege abiria wamepungua kwa zaidi ya 50%, Nchi siyo ya kidemokrasia tena, watu wanauwawa hovyo,

Mwaka wa pili huo umekatika ati yeye bado yuko ktk kampeni, tumeshamuombea mpaka tumechoka, Kama ni ishu ya barabara Mbona hata kabla ya yeye zilikuwa zinajengwa kila Siku?

Pls, Mr President tubadilishie huu wimbo, tumeshachoka nao.
 
Me binafsi wala ndio sitakagi hata kumsikiliza kabisa,,, kama jana ndio kaharibu kabisa,,,watu tulijua ni tukio la kijeshi hatoongea mambo ya siasa,,,la maana aliloongea labda Ni la yule kijana aliekamatwa mbeya ambae alileta mtandaoni habari za uzushi juu ya jeshi letu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom