ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,564
Sasa mtu anasema hashauriki unategemea nini,kwani kazi gani ni rahisi,ajiuzuru akafuge
Ha ha ha ha haaaaaa ... nimecheka mpaka nikahisi napoteza faham ...
... "Sumu ya ya panya - Sumu yapanya Kunguni Virobotooo!! Sumu ya panya! Dawa ya Mbu, Mapunye, Mende, Sisimizi zinapapatikana hapa!!!
Ha ha ha ha haaaaa ..... ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.....!!!!!
Hata Mimi bro, yaani mpaka Ina boa, viwandani vyote watu wamepunguzwa kazi na vingine kufungwa kabisa, mzunguko wa pesa ni O wafanyabiashara wako hoi, bank hazitoi mikopo, bandarini pako hoi, viwanja vya ndege abiria wamepungua kwa zaidi ya 50%, Nchi siyo ya kidemokrasia tena, watu wanauwawa hovyo,Umeniwahi nilitaka kupost mawazo kama ya kwako
Mkuu imenibidi nirudi mwanzo nkaongeze LIKESNaamini hapa ilitakiwa ioneshe 256 LIKES...... wahusika liangalieni hili.