Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,233 Reaction score 26,753 Jun 27, 2014 #41 Husninyo said: yaani huyu ni pumba tupu. ... wawe wanafundishwa kuongea kwenye media. Click to expand... kuwe na training kabisaa
Husninyo said: yaani huyu ni pumba tupu. ... wawe wanafundishwa kuongea kwenye media. Click to expand... kuwe na training kabisaa
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,233 Reaction score 26,753 Jun 27, 2014 #42 matumbo said: Msanii wa bongo ukimpa simu kali,pamba na demu mkali...umetimiza ndoto zake. Click to expand... ndio malengo yao yalipoishia hapo
matumbo said: Msanii wa bongo ukimpa simu kali,pamba na demu mkali...umetimiza ndoto zake. Click to expand... ndio malengo yao yalipoishia hapo
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,502 Reaction score 372 Jun 27, 2014 #43 stive wamemchagua vp kilaza kama yule yaani akili yake mbaya Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
stive wamemchagua vp kilaza kama yule yaani akili yake mbaya Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,461 Jun 27, 2014 #44 BONGOLALA said: Mbona Real Madrid haijaja tanzania mpaka leo?kauli za jk hupaswi kuzitilia maanani Click to expand... ali ahidi kigoma itakua kama dubai,mpaka leo hiyo kigoma hata hadhi ya kama temeke haijafikia.
BONGOLALA said: Mbona Real Madrid haijaja tanzania mpaka leo?kauli za jk hupaswi kuzitilia maanani Click to expand... ali ahidi kigoma itakua kama dubai,mpaka leo hiyo kigoma hata hadhi ya kama temeke haijafikia.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,202 Reaction score 138,575 Jun 27, 2014 #45 Ndo maana Zitto aliwatumia Leka tutigite kama daraja la kupiga mpunga wa NSSF na TANAPA.hamna kitu hawa,
Ndo maana Zitto aliwatumia Leka tutigite kama daraja la kupiga mpunga wa NSSF na TANAPA.hamna kitu hawa,
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,311 Jun 27, 2014 #46 mshana jr said: Kapitiwa mwie radhi Click to expand... Alishapitiwa mpaka akapitiliza!
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,575 Jun 28, 2014 #47 Heaven on Earth said: una hakika ni mdada huyo my brother.... shauri yako Click to expand... Duuunh apology!!!!! Victor wa happy samehe sana mkuu!!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Heaven on Earth said: una hakika ni mdada huyo my brother.... shauri yako Click to expand... Duuunh apology!!!!! Victor wa happy samehe sana mkuu!!!!
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,575 Jun 28, 2014 #48 Heaven on Earth said: kuwe na training kabisaa Click to expand... Hivi umeshawahi kufanya training ukakutana na much know........!!!!!???????
Heaven on Earth said: kuwe na training kabisaa Click to expand... Hivi umeshawahi kufanya training ukakutana na much know........!!!!!???????
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,341 Reaction score 15,842 Jun 28, 2014 #49 wasanii wenyewe ndo hawa wanasubiri misiba wakapige mapicha ya kuuzia sura? Kama tu hata msiba hawajui ni nini unadhani kuna kitu wanajua? Kweli baada ya mungu ni mzungu,then wao...
wasanii wenyewe ndo hawa wanasubiri misiba wakapige mapicha ya kuuzia sura? Kama tu hata msiba hawajui ni nini unadhani kuna kitu wanajua? Kweli baada ya mungu ni mzungu,then wao...