Rais futa Chaguzi !!!

Nakuunga mkono mleta hoja,wanatupotezea muda wetu tu
Pia hata watu kukatwa mapanga,kuwekwa sero na makesi ya uchaguzi, tutasevu hela ya kuendeshe hizo chaguzi, watu hawatapoteza muda kwenda kwenye kampeni, tutawapunguzia watoto wetu kusikia matusi na nk
 
Matumizi mabaya ya hela za mlipa kodi

mechi ya nini na matokeo unayo? zifutwe kabisa.

Siyo zifutwe hadi 2020 mazee. Binafsi napendekeza zifutwe hadi 2025, maana hapo 2020 naona giza tupu. Mkulu amedhamiria kushinda kwa 1000℅ urais, wabunge na madiwani.

Mnakumbuka Makala ameomba radhi??

Hakika itapendeza for sure nasapot huu mchongo utapunguza mengi

Nakuunga mkono mleta hoja,wanatupotezea muda wetu tu

Naunga mkono halmashuri zikae zipendekeze mwakilishi wa muda hadi mwKa 2020.

Stress..!zinaleta kuchanganyikiwa.!tushasamehe

Boss mlogolaje Naaam, Umenena.

Kwa hili la kuwaletea wananchi umaskini wanaelekea kufaulu.

Pia hata watu kukatwa mapanga,kuwekwa sero na makesi ya uchaguzi, tutasevu hela ya kuendeshe hizo chaguzi, watu hawatapoteza muda kwenda kwenye kampeni, tutawapunguzia watoto wetu kusikia matusi na nk
Wakuu mnaonaje tuKiungana tukapiga kampeni ya kuomba kufutwa hizi chaguzi za katikati(marudio,kuziba nafasi)..

Tunaanza na JF tukifanikiwa kupata uungwaji mkono wa members 1000 then we go public/open
 
Wakuu mnaonaje tuKiungana tukapiga kampeni ya kuomba kufutwa hizi chaguzi za katikati(marudio,kuziba nafasi)..

Tunaanza na JF tukifanikiwa kupata uungwaji mkono wa members 1000 then we go public/open
Wazo zuri sana. Tatizo mtukufu alishasema hajaribiwi. Tutafuatiliwa na Nissan nyeupe muda si mrefu.

Taratibu kama hizo hufanya kazi ktk nchi za kidemokrasia na siyo za kidikteta.
 
Wazo zuri sana. Tatizo mtukufu alishasema hajaribiwi. Tutafuatiliwa na Nissan nyeupe muda si mrefu.

Taratibu kama hizo hufanya kazi ktk nchi za kidemokrasia na siyo za kidikteta.
Mkuu tunajikita katika point kuwa kwann tunashauri hizo chaguzi zifutwe,
then watakaotupinga nao walete point zao,
finally tutalinganisha upande upi una hoja zenye gharama kidogo manufaa makubwa.......

Hii nchi yetu sote,tushirikiane tuijenge kwa mendeleo ya watz wote bila ubaguzi na kutengana....
 
Back
Top Bottom