Rais, Fukuza Washauri Wanaofanya Vetting

Hao washauri wafanya vetting wanapatikanaje?
 
Hakuna mfumo unaoeleweka. Utasikia tu mtu anasema kuwa anafanya kazi ofisi ya Rais. Ni hao TISS na secrete services.
 
Sio sawa kutu fananisha sisi na wao
Kwa nini tusifananishiwe na wao wakati mwaka 1961 tulikuwa sawa? Au sisi ni binadamu robo wao ni binadamu kamili? Fafanua.
 
Urais ni taasisi kubwa sana, unaotegemea sana utendaji wa idara mbalimbali. Idara hizo zisispofanya kazi vizuri, lawama zote zinaenda kwa Rais na Serikali nzima.

Ukweli ni kwamba, hata kama tutakuwa na pesa nyingi kiasi gani, hata tukawa na vyanzo vya kuingiza pesa nyingi kiasi gani, bila ya kuwa na watu sahihi kila eneo, ni kupoteza muda, na nchi hii haitafika popote.

Fikria kuwa nchi hii mwaka 1961 wakati tunapata uhuru, tulikuwa sawa na nchi kama Malaysia, Thailand na Singapore. Lakini leo tumeachwa mbali kiasi cha UNDP kueleza kwamba sisi tukiendelea na mwendo ambao tumekuwa nao kwa muda mrefu, Malaysia wakabakia palepale, sisi itatuchukua zaidi ya miaka 250 kuwafikia: Fikiria kwa taarifa za 2021

Tanzania GDP $67.8 billion
Malaysia GDP $373 billion
Thailand GDP $505.9 billion
Singapore GDP $397 billion

Ufahamu kuwa:

Malaysia ina watu milioni 33

Singapore ina watu milioni 5

Thailand ina watu milioni 71

Pekee tulichowazidi hawa ni uwezo wa kuzaliana, kwa sababu kuzaliana hakuhitaji akili wala maarifa. Wanyama wenye akili kidogo kama nyumbu ambao ni kitoweo cha simba wanazaliana kuliko simba. Nzi mdudu asiye na akili na anakufa baadabya siku chache, anatotoa maelfu ya watoto kwa siku chache za maisha yake. Kuzaliana sana kusiko na mpangilio siyo sifa, kama ni sifa, basi inaobesha uduni wa akili.

Ukijiuliza, kwa nini haya yote yanatokea? Jibu sahihi ni aina ya watu tulio nao. Ni aina ya viongozi tulio nao. Ni aina ya watendaji tulio nao.

Viongozi wanaoamini maisha ya watu wa nchi na maendeleo ya nchi yanaweza kupatikana kwa kuhamasisha kazi ya bodaboda, umachinga au umama nitilie, hata siku moja hawawezi kubadilisha ustawi wa Taifa hili.

Viongozi wanaoona unyonge na umaskini wa wananchi ni sifa badala ya kuuona ni laana, hawawezi kulibadilisha Taifa hili.

Tuna watu wasio na uwezo wa kujenga mifumo bora ya uzalishaji bali usiku na mchana wanapanga namna ya kuiba kidogo kinachopatikana.

Bila ya kuwa na mifumo ya kuwatambua na kuwatumia watu wenye maono, wanaochukizwa na umaskini, walio maadui wa rushwa lakini wanaojivunia uadilifu na mafanikio, watu waliosheheni ubunifu, kwenye maeneo ya maamuzi, usimamiaji na utekelezaji ndani ya Serikali na taasisi zake, sisi kuhusu maendeleo, tusahau, tusahau, tusahau kabisa.

Kwa sasa, ifahamike, kuna maafisa ambao wanafanya kazi ya kumsaidia Rais katika kuwatambua watu wanaostahili kupewa uteuzi. Kwenye hili anaweza kuomba kupewa majina ya watu safi, wenye maadili, uwezo kwa kutegemea sifa alizoziweka. Lakini pia anaweza kuja na jina, akawapa watu wake kutaka kupata ukweli wa sifa, uwezo na uadilifu wa mtu huyo.

Lakini kinachotokea kwa sasa, ni baadhi ya hawa wanaofanya vetting, kuitumia nafasi waliyopewa kujinufaisha wao wenyewe kwa kupewa fedha na wanaofanikiwa kupata nafasi za uteuzi. Kwa kuwa wanakuwa wamehongwa, sifa zinazohitajika kwa nafasi ya uteuzi zinawekwa pembeni, kwao kilicho muhimu ni pesa waliyohongwa. Hii inafanyika zaidi kwa wale ambao tayari ni wateuliwa, na wanataka au wabakie hapo hapo kwenye nafasi walizoteuliwa au wapande zaidi, hata kama wana madudu na uchafu mwingi.

USHAURI KWA RAIS

Kama Rais amemteua au kumbakiza Waziri fulani wakati wa mabadiliko kwa kuegemea taarifa za wanaofanya vetting, halafu huyo waliyempa sifa nyingi za uwongo ama akaonekana kuwa mwizi, mbadhirifu au uwezo duni, anapoondolewa huyo mteuliwa, fukuza na wale wote waliofanya vetting iliyosaidia mtu huyo kuipata nafasi aliyopewa.

Mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu, wanahangaika wakati wote kuwatambua watu walio karibu sana na Rais, kwa lengo moja tu, kuwahonga ili taarifa zao zimfikie Rais zikiwa na sifa nyingi za uwongo.

Rais, awe na watu wanaofuatilia kwenye taasisi binafsi na makampuni binafsi, waliopo ndani na nje ya nchi, kuwatambua watanzania wenye fikra chanya na wenye uwezo na uadilifu wa hali ya juu, ili watu hao waweze kupewa nafasi muhimu katika kulibadilisha Taifa hili lililozama kwenye tope la uduni, siyo kwa sababu ya kukosa rasilimali asilia bali kukosa rasilimali watu sahihi kwenye maeneo mengi mbalimbali.

Vigezo vya sifa za mtu kupata nafasi katika ofisi za umma, zitazamwe upya, maana kuna watu wengi kwenye ofisi za umma zaidi ya kuwa na uadilifu duni, hata maarifa na uwezo wao wa kufanya kazi ni duni sana, ndiyo maana mashirika yote ya kibiashara na huduma yaliyo chini ya Serikali, hakuna linalofanikiwa.
wanaoteuliwa ni watoto wa vigogo,marafiki ndani ya chama nk sasa unategemea watoto hao watakuwa na uchungu gani na nchi hii.kama tutaweka mifumo sahihi ambayo itachagua watu sahihi na kuwachukulia hatu kali pamoja na kupigwa risasi wote wanaohujumu nchi ndipo tutaweza kusonga mbele kama nchi lkn kama mifumo itaendelea kuwabembeleza na kuwachekea wezi hatutatoboa kabisa.ifike mahali tuseme bora lawama kuliko fedheha.
 
[emoji28][emoji28]
Kwan imekuaje mkuu wangu
Sipendi kuona viongozi vijana wachapakazi wazalendo kabisa wakitukanwa. Umewakosea heshima hawa waheshimiwa

Nikki anafanya kazi kubwa sana, inaonekana. Anapambana usiku na mchana kuleta Maendeleo kwa wananchi, kisarawe amwacha historia kubwa mno

Babu tale ni mgeni bungeni lakini ana mchango mkubwa sana kwenye jimbo lake

Msukuma ni moja ya wabunge wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kutetea maslahi ya wananchi
 
Baada ya kukutajaa hufai kuteuliwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nick bhana
Wewe ***** mimi sio Nikki alafu usiwe unapenda kuingia kwenye 18 zangu katafute basha ukatatuliwe hayo marinda
 
Urais ni taasisi kubwa sana, unaotegemea sana utendaji wa idara mbalimbali. Idara hizo zisispofanya kazi vizuri, lawama zote zinaenda kwa Rais na Serikali nzima.

Ukweli ni kwamba, hata kama tutakuwa na pesa nyingi kiasi gani, hata tukawa na vyanzo vya kuingiza pesa nyingi kiasi gani, bila ya kuwa na watu sahihi kila eneo, ni kupoteza muda, na nchi hii haitafika popote.

Fikria kuwa nchi hii mwaka 1961 wakati tunapata uhuru, tulikuwa sawa na nchi kama Malaysia, Thailand na Singapore. Lakini leo tumeachwa mbali kiasi cha UNDP kueleza kwamba sisi tukiendelea na mwendo ambao tumekuwa nao kwa muda mrefu, Malaysia wakabakia palepale, sisi itatuchukua zaidi ya miaka 250 kuwafikia: Fikiria kwa taarifa za 2021

Tanzania GDP $67.8 billion
Malaysia GDP $373 billion
Thailand GDP $505.9 billion
Singapore GDP $397 billion

Ufahamu kuwa:

Malaysia ina watu milioni 33

Singapore ina watu milioni 5

Thailand ina watu milioni 71

Pekee tulichowazidi hawa ni uwezo wa kuzaliana, kwa sababu kuzaliana hakuhitaji akili wala maarifa. Wanyama wenye akili kidogo kama nyumbu ambao ni kitoweo cha simba wanazaliana kuliko simba. Nzi mdudu asiye na akili na anakufa baadabya siku chache, anatotoa maelfu ya watoto kwa siku chache za maisha yake. Kuzaliana sana kusiko na mpangilio siyo sifa, kama ni sifa, basi inaobesha uduni wa akili.

Ukijiuliza, kwa nini haya yote yanatokea? Jibu sahihi ni aina ya watu tulio nao. Ni aina ya viongozi tulio nao. Ni aina ya watendaji tulio nao.

Viongozi wanaoamini maisha ya watu wa nchi na maendeleo ya nchi yanaweza kupatikana kwa kuhamasisha kazi ya bodaboda, umachinga au umama nitilie, hata siku moja hawawezi kubadilisha ustawi wa Taifa hili.

Viongozi wanaoona unyonge na umaskini wa wananchi ni sifa badala ya kuuona ni laana, hawawezi kulibadilisha Taifa hili.

Tuna watu wasio na uwezo wa kujenga mifumo bora ya uzalishaji bali usiku na mchana wanapanga namna ya kuiba kidogo kinachopatikana.

Bila ya kuwa na mifumo ya kuwatambua na kuwatumia watu wenye maono, wanaochukizwa na umaskini, walio maadui wa rushwa lakini wanaojivunia uadilifu na mafanikio, watu waliosheheni ubunifu, kwenye maeneo ya maamuzi, usimamiaji na utekelezaji ndani ya Serikali na taasisi zake, sisi kuhusu maendeleo, tusahau, tusahau, tusahau kabisa.

Kwa sasa, ifahamike, kuna maafisa ambao wanafanya kazi ya kumsaidia Rais katika kuwatambua watu wanaostahili kupewa uteuzi. Kwenye hili anaweza kuomba kupewa majina ya watu safi, wenye maadili, uwezo kwa kutegemea sifa alizoziweka. Lakini pia anaweza kuja na jina, akawapa watu wake kutaka kupata ukweli wa sifa, uwezo na uadilifu wa mtu huyo.

Lakini kinachotokea kwa sasa, ni baadhi ya hawa wanaofanya vetting, kuitumia nafasi waliyopewa kujinufaisha wao wenyewe kwa kupewa fedha na wanaofanikiwa kupata nafasi za uteuzi. Kwa kuwa wanakuwa wamehongwa, sifa zinazohitajika kwa nafasi ya uteuzi zinawekwa pembeni, kwao kilicho muhimu ni pesa waliyohongwa. Hii inafanyika zaidi kwa wale ambao tayari ni wateuliwa, na wanataka au wabakie hapo hapo kwenye nafasi walizoteuliwa au wapande zaidi, hata kama wana madudu na uchafu mwingi.

USHAURI KWA RAIS

Kama Rais amemteua au kumbakiza Waziri fulani wakati wa mabadiliko kwa kuegemea taarifa za wanaofanya vetting, halafu huyo waliyempa sifa nyingi za uwongo ama akaonekana kuwa mwizi, mbadhirifu au uwezo duni, anapoondolewa huyo mteuliwa, fukuza na wale wote waliofanya vetting iliyosaidia mtu huyo kuipata nafasi aliyopewa.

Mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu, wanahangaika wakati wote kuwatambua watu walio karibu sana na Rais, kwa lengo moja tu, kuwahonga ili taarifa zao zimfikie Rais zikiwa na sifa nyingi za uwongo.

Rais, awe na watu wanaofuatilia kwenye taasisi binafsi na makampuni binafsi, waliopo ndani na nje ya nchi, kuwatambua watanzania wenye fikra chanya na wenye uwezo na uadilifu wa hali ya juu, ili watu hao waweze kupewa nafasi muhimu katika kulibadilisha Taifa hili lililozama kwenye tope la uduni, siyo kwa sababu ya kukosa rasilimali asilia bali kukosa rasilimali watu sahihi kwenye maeneo mengi mbalimbali.

Vigezo vya sifa za mtu kupata nafasi katika ofisi za umma, zitazamwe upya, maana kuna watu wengi kwenye ofisi za umma zaidi ya kuwa na uadilifu duni, hata maarifa na uwezo wao wa kufanya kazi ni duni sana, ndiyo maana mashirika yote ya kibiashara na huduma yaliyo chini ya Serikali, hakuna linalofanikiwa.
Sasa ndio mtajua kwanini hayati Magufuli mnasema alikuwa katiri,
Ngoja nchi irudi zile zama za unanijua mimi ni nani?
 
Sasa ndugu yangu, unategemea tija kweli, kwa mfano yule Mzee wetu kutoka sijui Bunda, yeye tangu enzi za Mwalimu Nyerere tayari ni kiongozi, na hadi Leo bado anateuliwa na ndio ' think tank' wa kusaidia kuleta mabadiliko chanya??? Yaani tutakuja fika, tumechooka kwelikweli.....
 
wanaoteuliwa ni watoto wa vigogo,marafiki ndani ya chama nk sasa unategemea watoto hao watakuwa na uchungu gani na nchi hii.kama tutaweka mifumo sahihi ambayo itachagua watu sahihi na kuwachukulia hatu kali pamoja na kupigwa risasi wote wanaohujumu nchi ndipo tutaweza kusonga mbele kama nchi lkn kama mifumo itaendelea kuwabembeleza na kuwachekea wezi hatutatoboa kabisa.ifike mahali tuseme bora lawama kuliko fedheha.
Kuna siku Samia alisema Kuna watu serikalini wana Ma-Godfather wao,ukiwatoa watu wao utasikia wanalalamika!
Mzee Makamba amewahi pia kusema,alishawai mpelekea Magufuli jina la mtu aliyetaka ateuliwe U-DC lakini Jiwe akakataa!
Sasa hawa akina kamlete watatusaidia nini kama taifa!!!
 
Urais wa nchi haupaswi kuwa wa ubia na watu wengine kiasi kwamba ushindwe kufanya kazi kwa kuwaogopa. Kwamba baadhi ya watu wakuteulie watu wa hovyo na ushindwe kukataa ni changamoto Sana.

Nchi hii inakila kitu isipokua haina watu sahihi kwenye nafasi nyingi za utendaji na maamuzi.

Ikitokea siku tukatatua hilo huenda tukawa vizuri Sana na tukapiga Hatua kwa Kasi Sana.
 
W
Urais ni taasisi kubwa sana, unaotegemea sana utendaji wa idara mbalimbali. Idara hizo zisispofanya kazi vizuri, lawama zote zinaenda kwa Rais na Serikali nzima.

Ukweli ni kwamba, hata kama tutakuwa na pesa nyingi kiasi gani, hata tukawa na vyanzo vya kuingiza pesa nyingi kiasi gani, bila ya kuwa na watu sahihi kila eneo, ni kupoteza muda, na nchi hii haitafika popote.

Fikria kuwa nchi hii mwaka 1961 wakati tunapata uhuru, tulikuwa sawa na nchi kama Malaysia, Thailand na Singapore. Lakini leo tumeachwa mbali kiasi cha UNDP kueleza kwamba sisi tukiendelea na mwendo ambao tumekuwa nao kwa muda mrefu, Malaysia wakabakia palepale, sisi itatuchukua zaidi ya miaka 250 kuwafikia: Fikiria kwa taarifa za 2021

Tanzania GDP $67.8 billion
Malaysia GDP $373 billion
Thailand GDP $505.9 billion
Singapore GDP $397 billion

Ufahamu kuwa:

Malaysia ina watu milioni 33

Singapore ina watu milioni 5

Thailand ina watu milioni 71

Pekee tulichowazidi hawa ni uwezo wa kuzaliana, kwa sababu kuzaliana hakuhitaji akili wala maarifa. Wanyama wenye akili kidogo kama nyumbu ambao ni kitoweo cha simba wanazaliana kuliko simba. Nzi mdudu asiye na akili na anakufa baadabya siku chache, anatotoa maelfu ya watoto kwa siku chache za maisha yake. Kuzaliana sana kusiko na mpangilio siyo sifa, kama ni sifa, basi inaobesha uduni wa akili.

Ukijiuliza, kwa nini haya yote yanatokea? Jibu sahihi ni aina ya watu tulio nao. Ni aina ya viongozi tulio nao. Ni aina ya watendaji tulio nao.

Viongozi wanaoamini maisha ya watu wa nchi na maendeleo ya nchi yanaweza kupatikana kwa kuhamasisha kazi ya bodaboda, umachinga au umama nitilie, hata siku moja hawawezi kubadilisha ustawi wa Taifa hili.

Viongozi wanaoona unyonge na umaskini wa wananchi ni sifa badala ya kuuona ni laana, hawawezi kulibadilisha Taifa hili.

Tuna watu wasio na uwezo wa kujenga mifumo bora ya uzalishaji bali usiku na mchana wanapanga namna ya kuiba kidogo kinachopatikana.

Bila ya kuwa na mifumo ya kuwatambua na kuwatumia watu wenye maono, wanaochukizwa na umaskini, walio maadui wa rushwa lakini wanaojivunia uadilifu na mafanikio, watu waliosheheni ubunifu, kwenye maeneo ya maamuzi, usimamiaji na utekelezaji ndani ya Serikali na taasisi zake, sisi kuhusu maendeleo, tusahau, tusahau, tusahau kabisa.

Kwa sasa, ifahamike, kuna maafisa ambao wanafanya kazi ya kumsaidia Rais katika kuwatambua watu wanaostahili kupewa uteuzi. Kwenye hili anaweza kuomba kupewa majina ya watu safi, wenye maadili, uwezo kwa kutegemea sifa alizoziweka. Lakini pia anaweza kuja na jina, akawapa watu wake kutaka kupata ukweli wa sifa, uwezo na uadilifu wa mtu huyo.

Lakini kinachotokea kwa sasa, ni baadhi ya hawa wanaofanya vetting, kuitumia nafasi waliyopewa kujinufaisha wao wenyewe kwa kupewa fedha na wanaofanikiwa kupata nafasi za uteuzi. Kwa kuwa wanakuwa wamehongwa, sifa zinazohitajika kwa nafasi ya uteuzi zinawekwa pembeni, kwao kilicho muhimu ni pesa waliyohongwa. Hii inafanyika zaidi kwa wale ambao tayari ni wateuliwa, na wanataka au wabakie hapo hapo kwenye nafasi walizoteuliwa au wapande zaidi, hata kama wana madudu na uchafu mwingi.

USHAURI KWA RAIS

Kama Rais amemteua au kumbakiza Waziri fulani wakati wa mabadiliko kwa kuegemea taarifa za wanaofanya vetting, halafu huyo waliyempa sifa nyingi za uwongo ama akaonekana kuwa mwizi, mbadhirifu au uwezo duni, anapoondolewa huyo mteuliwa, fukuza na wale wote waliofanya vetting iliyosaidia mtu huyo kuipata nafasi aliyopewa.

Mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu, wanahangaika wakati wote kuwatambua watu walio karibu sana na Rais, kwa lengo moja tu, kuwahonga ili taarifa zao zimfikie Rais zikiwa na sifa nyingi za uwongo.

Rais, awe na watu wanaofuatilia kwenye taasisi binafsi na makampuni binafsi, waliopo ndani na nje ya nchi, kuwatambua watanzania wenye fikra chanya na wenye uwezo na uadilifu wa hali ya juu, ili watu hao waweze kupewa nafasi muhimu katika kulibadilisha Taifa hili lililozama kwenye tope la uduni, siyo kwa sababu ya kukosa rasilimali asilia bali kukosa rasilimali watu sahihi kwenye maeneo mengi mbalimbali.

Vigezo vya sifa za mtu kupata nafasi katika ofisi za umma, zitazamwe upya, maana kuna watu wengi kwenye ofisi za umma zaidi ya kuwa na uadilifu duni, hata maarifa na uwezo wao wa kufanya kazi ni duni sana, ndiyo maana mashirika yote ya kibiashara na huduma yaliyo chini ya Serikali, hakuna linalofanikiwa.
Wanaofanya vetting ni usalama. Nyoosha maneno. Sio kuzunguka zunguka
 
CAG mtaafu alishasema zaidi ya 60% ya watu wenye mamlaka hawana uwezo.. Ije katiba mpya itakayoainisha sifa za kila nafasi na watu waombe
 
Back
Top Bottom