Mpwa huyu Rodrigo huyu...Binafsi hata mimi ningefanya kama yeye mmarekani kalikoroga alinywe mwenyewe sasa
Shida ya marekani ni kuhakikisha Nchi ndogondogo haziendelei ili aendelee kuwa mbabe anachokifanya ni kuanzisha machafuko kila kona ya dunia.Binafsi hata mimi ningefanya kama yeye mmarekani kalikoroga alinywe mwenyewe sasa
Raisi wa Ufilipino Rodrigo Duterte hivi majuzi alizua kizazaa kikubwa pale alipomtukana raisi wa USA Barack Obama kwa kumuita Obama ,,son of a bitch" jambo lililopelekea Raisi Obama kuahirisha kwa muda kukutana na raisi huyo lkn mwishowe Obama alikutana naye!
Sasa kama hilo halitoshi Raisi Duterte amesema Majeshi ya USA yalioko nchini Ufilipino (US Military base) yaondoke nchini humo, sasa hapa nafikiri raisi Duterte amekwenda mbali na muda siyo mrefu CIA watafanya kazi yake kama ilivyokuwa kwa Erdogan wa Uturuki na watamuondoa madarakani, aidha utasikia maandamano nchi nzima au kama hilo ni gumu basi baadhi ya Majenerali wa Jeshi la Ufilipino wataasi na kumuondoa!
Duterte wants U.S. troops out of southern Philippines
Basi huyo bwana atakuwa mentally unstable kwa sababu mikataba ya vikosi imehuhishwa mapema mwaka huu, nafikiri anataka kuendesha nchi kama jiko la nyumbani kwake, huyu kwa hakika ndiye dikiteta uchwara haswaa wengine wanasingiziwa buure!
[emoji23][emoji23][emoji23]Anachokitafuta kwa marekani atakipata apate bahati waendelele kutawala kina Obama wasiopenda vita lakini wakiingia kina trump kazi anayo.
It's not him. Beijing is pushing the wheelNimeupenda msimamo wake kakataa kuburuzwa bila kujali nguvu umaarufu na uimara
Acha porojo za BBC na CCN haoa bana. Hao magaidi huwa wanaanzishwa na nani? Kabla ya chokochoko kwa Bashar al Assad IS walikuwepo? Nani aliwapatia zana hao IS?Hajiamini, kwasababu dunia ipo katika kipindi cha kuunganisha nguvu kupambana na magaidi yeye hataki kushiriki ili magaidi wasije wakamuelewa vibaya, Chukulia mfano wa Kenya wakitoa majeshi yao Somalia, Speed ya kuwindwa na Alshabab itashuka sana, unadhani ni kwanini Wakenya wameendelea kuwepo Somalia japo wakiondoka kuna unafuu kwao? Unajua kwamba Wamarekani wakiamua kutoa majeshi yao sehemu zote zenye vyanzo vya Magaidi Wamarekani watakua kwenye unafuu flani?
inawezekana asiweze lakini vipi kwa msimamo wake naadhi za nchi ndogo 40 zikamuunga mkono hilo taifa kubwa litakuwa na nguvu gani tenaMaarekani ni taifa kubwa duniani kushindana nao ni vigumu sana.
Si rahisi kwa kitaifa kidogo kama ufilipino kushindana na Marekani labda uwe na roho kama ya sadam na msemeji wa serikali yake .
Nu nchi gani ndogo inayotaka kukosana na marekani kwa kuunga mkono matusi msimamo Wa nchi ndogo kama ufilipino ili wapate maslahi gani kwa ufilipino?inawezekana asiweze lakini vipi kwa msimamo wake naadhi za nchi ndogo 40 zikamuunga mkono hilo taifa kubwa litakuwa na nguvu gani tena