Rais Duterte aagiza vikosi vya Marekani kuondoka

President Nixon and Henry Kissinger said "You cannot save the people who don't wish to be saved"
And they withdrew all their troops out of Vietnam, it was a lifetime embarrassment for Kissinger.
Now, the polls show that Duterte is merely appealing to the popular nationalistic approach perched deep in the hearts of the Philippine's people.
Don't you think buzzing in would just escalate the fragile situation and give Beijing a more reasonable excuse to claim U.S aggression in the Archipelago and the South China sea?

I see, gatchu!
So, most likely the whole Tops of Eastern Zone's pushing the wheel?
 
tena sio mbali mkuu,vita tuu ya iraq imemuacha taabani,alitegemea vita ya ghuba itampa mafuta ya kutosha,matokeo vita vinaharibu visima pia vya mafuta,wachambuzi wa mambo wanatabiri mpaka 2025,America itakua inapumulia gas
Marekani ana mafiuta kuliko hizo nchi zote za uarabu na ni number one as oil producer dunia nzima,and FYI hiyo vita imelipwa na Iraqis sio US maana huo ndio mchezo mnaojua nyie na siku wakiondoka watakuwa wame make profit kuliko sehemu yeyote, waulize Germany or Japanese what it means US akikusaidia kupigana in the name ya kumuondoa Dikteta najua hujui ila kama unajua tueleze,war is a big business na US use that to make super profit,ulichoongelea eti US taabani ni opposite na alicho achieve huko Iraq
 
ok tujaalie hivo kwa hyo ww unahisi mafuta ndo kitu pekee kinachoweza kuifanya nchi iendelee kuwa super power? angalia ushawishi na uhusiano na nchi zingine,dora zote zilizotumia vita kama mtaji hazikufika mbali,vita vinawalipa lakini vinagharimu pia ktik nyanja zingine za kimaisha,the war on terror mpaka sasa inawagharimu kiasi kikubwa sna zaid ya bajet iliyokuwa imetengwa,ni kiasi gani cha wamarekani wanajeshi wanaotakiwa kulipwa fidia mpaka leo hawajalipwa,angalia tuu maisha ya mmarekani wa kawaida hivi leo,juzi tuu nchi za kiarabu zimefanya mkutano riyadh za kukubaliana kuuza mafuta kwa pesa ya china,we unapigana vita wenzio wanaangalia njia zinazoweza kuleta ushawishi mzur kwa nzingine kibiashara
 
Ndugu war is big business for profit and American security mengine yote unayosema ni politics tuu ambazo hazina maana,just go educate yourself why US needs war labda utafunguka kidogo,US hapigani war kwa sababu anakupenda au anataka kukusaidia kukuondolea Dictator na ukiangalia vizuri vita zote US kapigana kazianzisha mwenyewe na wala hajachokozwa na mtu yeyote... is about PROFIT.
 
sasa kama anapataprofit kubwa,mbona anayumba kiuchumi? au hujui kuwa anayumba kiuchumi? Kwa nn Trump anasema am going to make America great again?
 
hahaha Trump na nani kakuambia US anayumba kiuchumi? US now has the best Economy in the whole world huyo Trump hizo ni slogan tuu za kuombea kura
 
Huyu rais wa ufilipino namkubali sana kwa jinsi anavowamaliza mateja na madrug dealer
 
fuatilia kwa ufaSAHA
4.8% unemployment rate,low gas prices,low interest rate,growing GDP etc kuna ushahidi zaidi ya huo, ukiona mtu ni poor in US kwa sasa either ni mvivu, mgonjwa or just bad luck
 
Mkuu Mshana jr,hilo ni dua la Kuku halimpati Mwewe Marekani itaendelea kutawala Dunia kwa miaka mingi mbele,anajua anachofanya.
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom