Rais Duterte aagiza vikosi vya Marekani kuondoka

Atapata anachotafuta soon, Budget yao wanategemea 25% pesa ya mnyamwezi na subiri waanze kuondoa investment zao ndio atatia akili, ubabe mwingine wa kirofa kabisa na sijui kwa faida ya nani? ila huyu CIA wanaye American wame invest sana kule na security strategy ya South East Asia Phillipines ni mojawapo labda kama wakiona hakuna maslahi ,kwenye maslahi ya mnyamwezi usicheze watakuanzishia tuu..amuulize Noriega walichomfanya
 
Kwa kitendo tuu cha kuua raia zaidi ya 2000 tangu awe raisi for the name of drug war hiyo ni kesi tayari anayo ya kujibu na UN wameshamuonya, Noriega anaozea kwenye jela za Miami sijui kama alishatoka, hawa wana uwezo kuja kukamata raisi wa nchi na kumpa kifungo kwa sheria zao
 
Acha porojo za BBC na CCN haoa bana. Hao magaidi huwa wanaanzishwa na nani? Kabla ya chokochoko kwa Bashar al Assad IS walikuwepo? Nani aliwapatia zana hao IS?

Kabla ya vita baridi vya kuivunjavunja SOVIET Osama alikuwa ni nani katika dunia hii?

Wenye akili zao wakina Duterte wameshajua kuwa wanachezwa shere
Phillipines ni nchi very stable na yenye prosperity sana na wamekuwa na uhusiano mzuri na US kwa miaka mingi sana na stock market yake ni one of the biggest in Asia, sasa huyu Duterte anataka nini na chokochoko zake walimwambia tuu acha kuua watu fuata sheria yeye kakasirika na mitusi juu na sasa kutishia maslahi ya watu, US anajua kuwafanyizia watu kama hawa vizuri tuu na ana experience kubwa na wote humu tunajua
 
Bwana mkubwa anataka uhisiano na beijing unalipa na pia haihitaji mgogoro wa soutu china sea na beijing kwani biashara hapo through south china sea inafika usd 4 trln kwa mwaka kwa hyo hesabu zake za sawa
 
I agree with you

Jana katangaza anataka kununua silaha za China na Russia.
Wamesema watampa kwa mkopa wenye nafuu kwa miaka 25.
Kasema tena hatafanya mazoezi ya kijeshi na Marekani kwenye bahari ya PACIFIC kwasababu itamletea matatizo na China; nchi yake haiko tayari kuingia kwenye mtafaruku na China.
Mgogoro wa South China Sea watajikuta Marekani na Japan peke yao.

Ushawishi wa Marekani unazidi kupungua siku hadi siku.
Zaidi ya asilimia 75 ya silaha za Ufilipino zimekuwa zikitoka Marekani tokea mwaka 1950, lakini leo anawapiga chini.
Ukienda Uturuki Marekani kazidi kuharibu, na ikumbukwe baada ya Saudi Arabia na Arab Emirates Uturuki ni wa tatu kwa ukubwa wa soko la silaha za Marekani. Leo nao wanageukia kwa Urusi, hali inazidi kuwa mbaya.
 
Let the self boasting giant collapse! Najua kuna watu watachukizwa na hii post yangu lakini natamani kuiona marekani ikiendelea kudhoofika
 
Mkuu Mshana jr,hilo ni dua la Kuku halimpati Mwewe Marekani itaendelea kutawala Dunia kwa miaka mingi mbele,anajua anachofanya.
 
Huyu jamaa siku zake zinahesabika, amuulize yule wa Turkey alivyokoswa koswa. Au aulizie kwa Chavez
 
Maskini wee, hajui km magaid wenyewe ndio hao hao wamarekani..

Time will tell naona anagombana na wenye nongwa huyu..
 
Kwa kitendo tuu cha kuua raia zaidi ya 2000 tangu awe raisi for the name of drug war hiyo ni kesi tayari anayo ya kujibu na UN wameshamuonya, Noriega anaozea kwenye jela za Miami sijui kama alishatoka, hawa wana uwezo kuja kukamata raisi wa nchi na kumpa kifungo kwa sheria zao

Durtete kauwa 2000 people, na Obama kauwa wangapi kule Syria,Libya,Afghanistan na Iraq? Kachukuliwa hatua??? Bush kaingia Iraq nk..kauwa innocent na sasa anapeta to hakuna wakumgusa (mpumbavu yule) kwanza hicho kikundi cha IS kinapata wapi silaha? Why nchi hizo nilizozitaja hapo juu kabla ya vita kutokea vikundi hivi havijakuwepo? So Durtete kishashtuka na ndio maana kataka jeshi hilo liondoke haraka iwezekanavyo...tena nilimsifu sana kidume hicho kilipomuita Raisi wa marekani mtoto wa k...h...b, maana wamezidi sasa...Big up sana Mh Durtete
 
Interesting conversation.

Malcolm don't you think Beijing might put him in trouble?!..they're doing good and he's not (yet). Wasijemponza tu.

Looking at the interests America has in the Philippines it wouldn't do them great if they plug an Iron-Wedge in that relationship. They may chose to frustrate the country but now is too early, the wind is not pushing their boat. Unlike Libya, Kuwait, Egypt and Brazil the large section of country's population is in support of Duterte's move on South China Sea, Weapon's trade, looting out organised crime in the country and ultimately uninstalling US MILITARY BASE in the archipelago.

For more than half a century Pro-American governments have failed to live to the expectations of the people due to political inexpedience. Now, the Leader comes and he's an Anti- America, he desires a great shift in paradigm and promises a chicken in every pot and a car in every backyard: Why can't the people swarm up in support of him like locusts?
In the future Duterte may be in trouble, but if the CIA buzz in now it may end up miserably like in Vietnam or Cuba. Its easy to tear down a divided country; just as it is to tear apart a wall with cracks.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Maarekani ni taifa kubwa duniani kushindana nao ni vigumu sana.
Si rahisi kwa kitaifa kidogo kama ufilipino kushindana na Marekani labda uwe na roho kama ya sadam na msemeji wa serikali yake .
sasa kwani ni lazima hayo majeshi kuendelea kuwepo km yy hatak
 
Waondoke tu.mbona marekani huwezi kukuta majeshi ya ufilipino au nchi zingine.komaa Rodriguez masikini jeuri.
 
Let the self boasting giant collapse! Najua kuna watu watachukizwa na hii post yangu lakini natamani kuiona marekani ikiendelea kudhoofika
tena sio mbali mkuu,vita tuu ya iraq imemuacha taabani,alitegemea vita ya ghuba itampa mafuta ya kutosha,matokeo vita vinaharibu visima pia vya mafuta,wachambuzi wa mambo wanatabiri mpaka 2025,America itakua inapumulia gas
 
Looking at the interests America has in the Philippines it wouldn't do them great if they plug an Iron-Wedge in that relationship. They may chose to frustrate the country but now is too early, the wind is not pushing their boat. Unlike Libya, Kuwait, Egypt and Brazil the large section of country's population is in support of Duterte's move on South China Sea, Weapon's trade, looting out organised crime in the country and ultimately uninstalling US MILITARY BASE in the archipelago.

For more than half a century Pro-American governments have failed to live to the expectations of the people due to political inexpedience. Now, the Leader comes and he's an Anti- America, he desires a great shift in paradigm and promises a chicken in every pot and a car in every backyard: Why can't the people swarm up in support of him like locusts?
In the future Duterte may be in trouble, but if the CIA buzz in now it may end up miserably like in Vietnam or Cuba. Its easy to tear down a divided country; just as it is to tear apart a wall with cracks.

He's like poking them in the eye, first with his name calling Obama, and now this..
Watakuwa wanamlia timing tu huyu, wasivopenda kushindwa...lol

Lakini, why do you think CIA 'buzzing in' soon will be a recipe for quagmire?
Unless you meant something different from dealing with, just him.
(Not that I support it, am just wondering what made you think so.)
 
President Nixon and Henry Kissinger said "You cannot save the people who don't wish to be saved"
And they withdrew all their troops out of Vietnam, it was a lifetime embarrassment for Kissinger.
Now, the polls show that Duterte is merely appealing to the popular nationalistic approach perched deep in the hearts of the Philippine's people.
Don't you think buzzing in would just escalate the fragile situation and give Beijing a more reasonable excuse to claim U.S aggression in the Archipelago and the South China sea?
 
  • Thanks
Reactions: kui
Huyu raisi naona kama anamihemko flani hivi, tusijesikia tu mapinduzi ufilipino,
 
Back
Top Bottom