Nilishasema,Ngosha kacheza na elimu za Wabongo wengi wao hata f4 hawajafika......wanashangilia ujinga kama huu....let's wait n see kama tutaendelea kuskia kuhusu ACACIA baada ya hii wiki kuisha
Na wewe ulojificha nyuma ya picha ya Edi Gathengi upo kati ya hao wenye elimu ya ivo
Pendekezo lako ni lipi...!
Mjinga ni mjinga tu haijalishi ana elimu ipi!Nilishasema,Ngosha kacheza na elimu za Wabongo wengi wao hata f4 hawajafika......wanashangilia ujinga kama huu....let's wait n see kama tutaendelea kuskia kuhusu ACACIA baada ya hii wiki kuisha
Na wewe ulojificha nyuma ya picha ya Edi Gathengi upo kati ya hao wenye elimu ya ivo
Acha mambo ya ndioooooooooooooooo, nyumba za serikali ziko wapi? acha ujinga wa kuwa swayed na vitu vidogo!Rais Magufuli ni mzalendo kwelikweli wa taifa hili anayeipenda nchi yake sawa na walivyo Baba wa Taifa Mwl Nyerere na Robert Mugabe. Bahati yao mbaya ni kuwa wanazipenda sana nchi zao lakini hawana uwezo wala namna ya kuyatatua matatizo ya kiuchumi ya wananchi wao kwa kuorodhesha tu ubaya wa wakoloni mamboleo. Ukoloni ulikuwepo, upo, na utakuwepo. Mzee Nyerere, Gadafi, na Mzee Mugabe hawakufua dafu kiuchumi pamoja na kuthubutu kuuorodhesha ubaya wa wanyonyaji. Wakoloni ndio wenye mitaji, teknolojia na masoko ya kuchimba na kununua madini yoooote duniani. Bahati mbaya viongozi wetu wanaoingia mikataba na wakoloni hawa hawana tofauti na akina Mangungo wa enzi zile. Maana bila kuyachimba na kuyauza madini hayatakuwa na maana yoyote kwetu. Tunachohitaji ni win-win.
Taifa liketi chini bila kubaguana tushirikishwe kujadili nini chakufanya juu ya maliasili zetu na taifa letu.
Rais Magufuli ni mzalendo kwelikweli wa taifa hili anayeipenda nchi yake sawa na walivyo Baba wa Taifa Mwl Nyerere na Robert Mugabe. Bahati yao mbaya ni kuwa wanazipenda sana nchi zao lakini hawana uwezo wala namna ya kuyatatua matatizo ya kiuchumi ya wananchi wao kwa kuorodhesha tu ubaya wa wakoloni mamboleo. Ukoloni ulikuwepo, upo, na utakuwepo. Mzee Nyerere, Gadafi, na Mzee Mugabe hawakufua dafu kiuchumi pamoja na kuthubutu kuuorodhesha ubaya wa wanyonyaji. Wakoloni ndio wenye mitaji, teknolojia na masoko ya kuchimba na kununua madini yoooote duniani. Bahati mbaya viongozi wetu wanaoingia mikataba na wakoloni hawa hawana tofauti na akina Mangungo wa enzi zile. Maana bila kuyachimba na kuyauza madini hayatakuwa na maana yoyote kwetu. Tunachohitaji ni win-win.
Taifa liketi chini bila kubaguana tushirikishwe kujadili nini chakufanya juu ya maliasili zetu na taifa letu.
Kibabu Mugabe kaiharibu Zimbabwe kwa mgongo wa kupigania wazimbabwe wanyonge wasiyo na ardhi. Lkn kama afanyavyo Magifuli leo ktk madini na Mugabe alipambania haki hiyo bila akili. Ndiyo maana leo taifa là Zimbabwe limehujumiwa kiuchumi na mabeberu. Magufuli vita aliyo ianzisha ni nzuri lkn alipaswa kwenda kisheria. Badala ya kutoa visingizio uchwara eti kampuni haijasajiriwa ili hali kamapuni inapata stahiki zote na kulipa kodi zote.Mugabe si mtu wa kufananishwa naye kabisa aisee.
Kibabu kile kingekuwa kinaipenda Zimbabwe kisingeiharibu vile kilivyoiharibu.
Na Bajeti itakuwa imeshapitaNilishasema,Ngosha kacheza na elimu za Wabongo wengi wao hata f4 hawajafika......wanashangilia ujinga kama huu....let's wait n see kama tutaendelea kuskia kuhusu ACACIA baada ya hii wiki kuisha
stupidity is not a crime!, you are free to bluff!!..Nilishasema,Ngosha kacheza na elimu za Wabongo wengi wao hata f4 hawajafika......wanashangilia ujinga kama huu....let's wait n see kama tutaendelea kuskia kuhusu ACACIA baada ya hii wiki kuisha