Rais Dr Magufuli, aipongeza Serikali ya Msumbiji kwa kuwafukuza wahamiaji haramu

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Rais Magufuli akiwa ktk ziara Mtwara amesema ni sawa tu kwa Serikali ya Msumbiji kuwafukuza wahamiaji haramu.

Na amewataka watanzania warudi tu nyumbani kuna kila kitu ili tujenge nchi yetu.

Na ulivyokwenda ndivyo utakavyorudi kwasababu Serikali haikukupeleka Msumbiji na hata usafiri wanaopewa hauna sababu kwa sasa.

Amemshanga mtanzania kutoka Shinyanga kwenye dhahabu kwenda kuchimba madini Msumbiji.

Msumbiji ni marafiki wa Tanzania na wahamiaji haramu wasisababishe kuharibu mahusiano kati ya Tanzania na Msumbiji.
 
Tuna Nembo tu ya Rais. Unaongea maneno as if siyo Rais. Nchi haiwezi basi tu. Yaani anafurahia watanzania walivopoteza maisha badala ya kuweka njia bora za kuhakikisha kuwa wahamiaji haramu wanaondololewa kwa utaratibu na siyo kupigwa na kuteswa. Poor Tanzania
 
mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu, Tanzania imefukuza waamiaji wangapi? lile sakata LA kuwafukuza wanyarwanda je wajua wangapi walioathirika na wangapi waliopoteza maisha. Kwahiyo watanzania msilalamike maana mlicho watendea wengine ndo hicho kinacho tendeka kwenu.


tit for tat
 
Back
Top Bottom