Rais Dr. Magufuli afanya mazungumzo na Rais Mstaafu Dr. Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es salaam

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
1.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wakielekea kwenye mazungumzo mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.


3.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

5.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 18/03/2019. PICHA NA IKULU​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom