Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,063
- 136,426
Dakika chache zilizopita, Rais Donald Trump kaongea na waandishi wa habari ofisini kwake katika hafla ya kumuaga Elon Musk, ambaye amenaliza muda wake kama ‘Special Government Employee’.
Kinyume na narrative ya baadhi ya watu kuwa Trump na Musk wamemwagana [whatever that means], Musk kamaliza muda wake uliowekwa kisheria kuhusu hiyo nafasi na leo kaagwa rasmi na kupewa ufunguo wa heshima kwa White House [an honorary key to the White House].
Hiyo ni heshima ambayo ni nadra sana kutolewa.
Mtu aliyefukuzwa anapewa ufunguo wa heshima 🤣.
Acheni uzushi.
View: https://youtu.be/KXzN8QFJmT4?si=iYfpzGpjLO3bKPQW