PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi akutana na viongozi wa dini Zanzibar kujadili amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar kujadili Mustakabali wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka Huu.

IMG_4738.jpeg
Rais Dkt, Mwinyi ameihakikishia Kamati hiyo kuwa Serikali inafanya kila Juhudi Kuhakikisha Mifumo yote ya Uchaguzi inafanya Kazi kwa Uhuru, Amani na Uwazi wakati wa Kampeni, Upigaji kura na Matokeo ya Uchaguzi kwa dhamira ya kudumisha Amani Iliopo kwa Maslahi ya Nchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rais Dkt, Mwinyi ameishauri Kamati hiyo kuwakutanisha Wanasiasa kufanya Mjadala wa pamoja Kuzungumzia Umuhimu wa Amani ya Nchi pamoja na kudhibiti Viashiria vya Uvunjifu wa Amani kabla na Baada ya Uchaguzi.

IMG_4737.jpeg
Aidha ameahidi Serikali Kuendelea kushirikiana na Kamati hiyo ambayo imekuwa ikifanya Kazi Muhimu ya Kuhubiri Amani tangu ilipoasisiwa Mwaka 2005.

Rais Dkt, Mwinyi amesema Mshikamano wa Wananchi na Amani ni Tunu Muhimu kwa Mustakabali wa Maendeleo ya Nchi.

Naye Mwenyekiti wa Kamati Hiyo Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaab amesema Mkakati Wa Kamati Hiyo ni Kuhakikisha Mazingira ya Uchaguzi yanakuwa ya Amani wakati wa Uchaguzi, na baada ya Uchaguzi na Wananchi waingie katika Uchaguzi kwa Uwazi, Upendo na Furaha.

Kamati hiyo imemkabidhi Rais Dkt, Mwinyi Kitabu Maalum cha Muongozo wa Viongozi wa Dini Kuhusu Uchaguzi.

No reform no election
 
Mama ameona wa kumtetea wako nyumbani... Huku bara pa moto.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar kujadili Mustakabali wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka Huu.

View attachment 3326192
Rais Dkt, Mwinyi ameihakikishia Kamati hiyo kuwa Serikali inafanya kila Juhudi Kuhakikisha Mifumo yote ya Uchaguzi inafanya Kazi kwa Uhuru, Amani na Uwazi wakati wa Kampeni, Upigaji kura na Matokeo ya Uchaguzi kwa dhamira ya kudumisha Amani Iliopo kwa Maslahi ya Nchi.

Rais Dkt, Mwinyi ameishauri Kamati hiyo kuwakutanisha Wanasiasa kufanya Mjadala wa pamoja Kuzungumzia Umuhimu wa Amani ya Nchi pamoja na kudhibiti Viashiria vya Uvunjifu wa Amani kabla na Baada ya Uchaguzi.

View attachment 3326189
Aidha ameahidi Serikali Kuendelea kushirikiana na Kamati hiyo ambayo imekuwa ikifanya Kazi Muhimu ya Kuhubiri Amani tangu ilipoasisiwa Mwaka 2005.

Rais Dkt, Mwinyi amesema Mshikamano wa Wananchi na Amani ni Tunu Muhimu kwa Mustakabali wa Maendeleo ya Nchi.

Naye Mwenyekiti wa Kamati Hiyo Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaab amesema Mkakati Wa Kamati Hiyo ni Kuhakikisha Mazingira ya Uchaguzi yanakuwa ya Amani wakati wa Uchaguzi, na baada ya Uchaguzi na Wananchi waingie katika Uchaguzi kwa Uwazi, Upendo na Furaha.

Kamati hiyo imemkabidhi Rais Dkt, Mwinyi Kitabu Maalum cha Muongozo wa Viongozi wa Dini Kuhusu Uchaguzi.
hapo hachanganyi dini na siasa lakini
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar kujadili Mustakabali wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka Huu.

Rais Dkt, Mwinyi ameihakikishia Kamati hiyo kuwa Serikali inafanya kila Juhudi Kuhakikisha Mifumo yote ya Uchaguzi inafanya Kazi kwa Uhuru, Amani na Uwazi wakati wa Kampeni, Upigaji kura na Matokeo ya Uchaguzi kwa dhamira ya kudumisha Amani Iliopo kwa Maslahi ya Nchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rais Dkt, Mwinyi ameishauri Kamati hiyo kuwakutanisha Wanasiasa kufanya Mjadala wa pamoja Kuzungumzia Umuhimu wa Amani ya Nchi pamoja na kudhibiti Viashiria vya Uvunjifu wa Amani kabla na Baada ya Uchaguzi.

Aidha ameahidi Serikali Kuendelea kushirikiana na Kamati hiyo ambayo imekuwa ikifanya Kazi Muhimu ya Kuhubiri Amani tangu ilipoasisiwa Mwaka 2005.

Rais Dkt, Mwinyi amesema Mshikamano wa Wananchi na Amani ni Tunu Muhimu kwa Mustakabali wa Maendeleo ya Nchi.

Naye Mwenyekiti wa Kamati Hiyo Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaab amesema Mkakati Wa Kamati Hiyo ni Kuhakikisha Mazingira ya Uchaguzi yanakuwa ya Amani wakati wa Uchaguzi, na baada ya Uchaguzi na Wananchi waingie katika Uchaguzi kwa Uwazi, Upendo na Furaha.

Kamati hiyo imemkabidhi Rais Dkt, Mwinyi Kitabu Maalum cha Muongozo wa Viongozi wa Dini Kuhusu Uchaguzi.

For regular civil servants within ministries only:

In Tanzania, which ministries offer the highest salaries, bro—excluding the Ministry of TAMISEMI, TRA, and the Ministry of Defence?
 
Back
Top Bottom