kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,075
- 1,550
Ikulu ndogo ya Chamwino imeanza kufanyiwa Usafi tayari Kumpokea Rais Magufuli. Inasemekana hata Waziri Mkuu ataapishwa katika hii Ikulu ndogo ya Chamwino.
Shughuli nyingi za Rais, zitafanyika kutokea kwenye hii Ikulu.
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Nampa hongera kama ni kweli, lakini itakuwa ni mwendelezo wa kuigiliza aliyokuwa anayaamini Mheshimiwa Lowassa.
Wametumia hela kibao kwenye uchaguzi. Halafu anajifanya kuhamia Dodoma. Kweli #HAPAUSANIITU
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Sawa lakini hata waliokaa ikulu ya magogoni walikuwa na sababu. Wale walioamua makao makuu kuhamia Ddm ingeku ni sasa wasingeamua hivo. It was an outcome of cold war and ubeberu. Iliaminika ddm ni salama. Lkn sasa kukua kwa tkngia si sabb tena
Ukitaka mabadiliko zaidi ya kasi anayokwenda nayo Magufuli, basi we zungusha mikono tu, mbele mara 2 na zungusha kurudi nyuma mara 3, vp, unajisikiaje mwilini!? huoni kama kajasho kidogo,! hayo tayari sasa ndio mabadiliko ya malofa.
Kila mara baada ya uchaguzi mkuu unaompata Rais mpya haya hufanyika. Rais atakaa hapo kwa muda na hasa kama jina atakalopendekeza kuwa waziri mkuu litagonga mwamba! Hii si uthibitisho wa serikali kuhamia Dodoma. Hizi tetesi hazimtendei haki Rais Magufuli, mnamweka kwenye tafrani.Ikulu ndogo ya Chamwino imeanza kufanyiwa Usafi tayari Kumpokea Rais Magufuli. Inasemekana hata Waziri Mkuu ataapishwa katika hii Ikulu ndogo ya Chamwino.
Shughuli nyingi za Rais, zitafanyika kutokea kwenye hii Ikulu.
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Nimepewa tetesi kuwa Rais Magufuli kakataa kuishi Dar na ameagiza kuhamishiwa Dodoma yalipo makao makuu ya nchi.
Mlio jikoni tupeni uhalisia wa hili.
Ukitaka mabadiliko zaidi ya kasi anayokwenda nayo Magufuli, basi we zungusha mikono tu, mbele mara 2 na zungusha kurudi nyuma mara 3, vp, unajisikiaje mwilini!? huoni kama kajasho kidogo,! hayo tayari sasa ndio mabadiliko ya malofa.
Kwa kasi hii ndani ya siku 100 wana ccm halisi wote watamchukia na wana Ukawa halisi -tunamfagilia na kumpenda
mkuu mlitaka afanye nini ili mfurahi?Ujanja ujanja tuu wa CCM watu tunasuburi kazi sipo porojo tuu mara atembelea muhimbili,mara sijui ashtukiza bank kuu.come on ..tunataka mambo ya misingi..Ahamie Dodoma ???? Ni ngumu kuliko alivyobebwa na kuingia Ikulu...