Rais Bashir na maisha mapya ya gerezani

Rais Bashir na maisha mapya ya gerezani

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,701
Jamaa anaanza kuona joto la jiwe baada ya kula bata kwa 30 ikulu
FB_IMG_1555652020736.jpeg
 
Mwezi uliopita ungemtabiria utaenda jela wwe angekupiga risasi kuwa hizo ni ndoto.Yupo gereza lile lile alilowafungia wanaomkosoa.Yote hii ni Mungu anampa fundisho.Dunia inaendeshwa na nguvu ya misingi ukiikosea ni lzm ikuadhibu. Maisha ni upepo sio hesabu ,ukidhani una kinga jiulize mara Tatu Tatu.Hao hao wakulindao ndio watakulinda ukiwa mfungwa jela kwa matumizi mabaya ya Madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma,upotevu wa watu na wwe kimya ujachukua hatua siku zaja, hata ukiwa na mkongojo ni lzm uvune ulichopanda.Hela zake alizo jaza chumba kwa kuwaibia wananchi na kuzitumia kwa wasiojulikana zimeshindwa kumsaidia zimetaifishwa.ICC wanamtaka akajibu mauaji ya wasudan kusini kwa kuwafadhili janjaweed.Viongozi wa kiafrica huelewa wakiwa wamechelewa.Angesoma alama za nyakati angebaki Salama.
 
Angetimkia Uganda yasingemkuta haya

Aise binadamu angejua kitakachotokea baada ya sekunde moja ijayo angejipanga.
 
Alishindwa kwenda na wakati,we miaka 30 yote umeng'ang'ania madaraka tu utadhani nchi ni ya baba yako.....
 
Aise binadamu angejua kitakachotokea baada ya sekunde moja ijayo angejipanga.

Wamenyimwa ufahamu ili waangamie.Kiongozi makini uishi kwa historia na kuwafanya wananchi ndo kinga yake na sio dola wanajua dola nguvu za kijeshi hazitoweza waokoa na utelezi wa miti
 
Katika maisha ni heri uombe hekima kuliko Mali.Ukipata hekima umeipata dunia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom