Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,422
Ikulu kuna "vibaka na Panyaroads" isipokuwa tofauti ni kuwa "vibaka na panyaroads" wa Ikulu wanavaa suti By Godbless Lema
Da! Aliyeturoga noma!Rais mwizi,
Mke mwizi
Mtoto mwizi
Mjukuu mwizi (watakuwa wezi)
Waziri mkuu Mwizi,
Mawaziri wezi,
Naibu mawaziri wezi
Katibu mkuu mwizi
Naibu katibu mkuu mwizi
Maaskofu wezi.......................................
unategemea nini? Nchi nzima ni wezi labda asiye na nafasi ya kuiba!
Mwenyeti wa mtaa hawezi kuwa mwizi kama watu halmashauri si wezi
Ma DED hawawezi kuwa wezi kama mawaziri si wezi
Waziri hawezi kuwa mwizi kama Rais si mwizi
Wizi/rushwa ya mtu wa juu inalea wizi kwa watu wa chini yake.
Ngazi ya wizi hushuka taratibu hadi ngazi chini kabisa.
Katiba yetu ndio imetoa mwanya wezi kufanya watakavyo.Tuanze kupambana na wezi kwa kuikataa katiba yao,tuirejeshe rasimu ya mzee Warioba.
Mwenyeti wa mtaa hawezi kuwa mwizi kama watu halmashauri si wezi
Ma DED hawawezi kuwa wezi kama mawaziri si wezi
Waziri hawezi kuwa mwizi kama Rais si mwizi
Wizi/rushwa ya mtu wa juu inalea wizi kwa watu wa chini yake.
Ngazi ya wizi hushuka taratibu hadi ngazi chini kabisa.
Mkuu hiki ndicho watanzania wengi hawakioni. Utasikia wanawalamu polisi eti wanakula rushwa, eti Kova kasema uongo! Rais wa nchi na mawaziri wanapofanya haya inakuwa kama free ticket ya wadogo kufanya.
Sasa hili jukwaa linakuwa la kitoto,yan mtu ana acha kunyonyesha mtoto analia anakurupuka kuposti vitu vya kijinga hata asieenda shule anavijua.havina kichwa wala miguu!!!!
Ikulu kuna "vibaka na Panyaroads" isipokuwa tofauti ni kuwa "vibaka na panyaroads" wa Ikulu wanavaa suti By Godbless Lema
Waziri anapokuwa kuwa mwizi halafu akasema nyie siyo mliyonipa kazi aliyenipa kazi ndiye anayeweza kunifukuza hilo ni tusi kubwa sana kwa aliyempa kazi ni muajili mwizi tu ndiye anayeweza kufumbia macho kauli hiyo. hii sawa na mwanao aibe pesa halafu watu wamkemee halafu mtoto awaambie wanaomkemea ni baba yangu tu ndiye anaweza kunionya kwa wizi ni baba mwizi tu ndiye anayeweza kukaa kimya