Hizi tume unazozisagest hazina manufaa kwa Taifa vyvyote na kwa matokeo yoyote yatakayotoka. Wastage of time and scarse resources we have. Tusonge mbele yaliyopita basi
Sioni huyu mama akiweza hayo matamanio yako, kuna ripoti ya BoT mpaka leo imeshindakana kuwekwa hadharani. Hilo la uchunguzi kuhusu sababu ya kifo cha Magufuli ndio haliwezekani kabisa, maana hatujafikia kuwa taifa la uwazi wa hivyo, Magufuli mwenyewe akiwa mmoja wa kutoamini uchunguzi wa uwazi, rejea shambulio la Lisu.
Wakati mwingine kutochimbua makaburi kuna manufaa kwa taifa.
Waliodhulumiwa nawaomba wasahau, wamwombe MUNGU awatie nguvu, maana kamati ya wadhulumu bado ipo kwenye uongozi. Navyoona Mama kanogewa na mapeema kaanzankutengeneza mazingira ya 2025.
Nikweli kabisa, ukishaona teuzi kama ya Mwigulu unategemea nini? Ndio ujue wale walio inner circle bado wapo kazini. Pesa inatafutwa ni kukomaa tu, na kupambania uhai.Easier say than done especially when you take into consideration that they took billions of your hard earned money and left you with NOTHING.
Hizi tume unazozisagest hazina manufaa kwa Taifa vyvyote na kwa matokeo yoyote yatakayotoka. Wastage of time and scarse resources we have. Tusonge mbele yaliyopita basi