Eti rais asie na makuu??? Kweli???
90% ya waumini hapo usalama wa taifa
Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure@@@@:argue::argue::argue::argue::argue::argue::argue::typing::typing::typing::typing::typing:
Hivi uwa ni woga au?90% ya waumini hapo usalama wa taifa
Juzi kahudhuria misiba miwili kwa Siku moja, ule wa Luteni wa jeshi na Mzee Small ikabidi nijiulize, ina maana Huyu jamaa hakua hata na appointment mojA Siku hio?
Hii Nimeipenda sana wadau
View attachment 163413
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakijumuika na waombolezaji wengine katika Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Ernesti B. Ngereza, aliyekuwa mfanyakazi wa Ikulu aliyefariki dunia Mei 5, 2014, kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda nyumbani kwa marehemu Lushoto, Mkoani Tanga Ijumaa Mei 6, 2014.
Hivi uwa ni woga au?