Rais asiye na makuu?

Rais asiye na makuu?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Hii Nimeipenda sana wadau
unnamed.jpgn.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakijumuika na waombolezaji wengine katika Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Ernesti B. Ngereza, aliyekuwa mfanyakazi wa Ikulu aliyefariki dunia Mei 5, 2014, kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda nyumbani kwa marehemu Lushoto, Mkoani Tanga Ijumaa Mei 6, 2014.
 
what special in this? ulitaka akae kiti cha mbele? ulitaka aje na viti kutoka ikulu? In this case Mheshimiwa zaidi ni marehemu ambaye atawekwa mbele zaidi. Angekuwa hana makuu basi angekuja peke yake, mbona comandoo nyuma na milingoni polisi kibao? Inatakiwa akiwa kwenye nyumba za ibada awe huru na mpole zaidi ya hapo...

Hakuna cha kumfanya aonekane hana makuu hapo, cha msingi sisi watanzania hatuna makuu. Otherwise alituchotufanyia kwa miaka hii 8 alitakiwa awe anavaa vizuia risasi muda wote
 
hi ni analysis based on the hypothesis

Safi mr President,mama Zito amezikwa bila ya kuwepo viongozi wake ambao walifanya kazi pamoja kwa muda mrefu kujenga chama,na pia marehemu ni mama wa aliyepata kuwa kiongozi wa chama,uhasama wa kisiasa tunapeleka hadi misibani...siasa za kibongo bhana majungu tupu..
 
Mfanyakazi wa IKULU? Hawa si ndio wale waliomteka na kumtesa Dr. Ulimboka? Anyway R.I.P Mfanyakazi wa IKULU:wave:
 
Safi mr President,mama Zito amezikwa bila ya kuwepo viongozi wake ambao walifanya kazi pamoja kwa muda mrefu kujenga chama,na pia marehemu ni mama wa aliyepata kuwa kiongozi wa chama,uhasama wa kisiasa tunapeleka hadi misibani...siasa za kibongo bhana majungu tupu..

Kwa nini huyu mheshimiwa hakuhudhuria msiba wa mama wa rafiki yake Zitto? Tupe jibu.

Tiba
 
Hii Nimeipenda sana wadau
View attachment 163413

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakijumuika na waombolezaji wengine katika Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Ernesti B. Ngereza, aliyekuwa mfanyakazi wa Ikulu aliyefariki dunia Mei 5, 2014, kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda nyumbani kwa marehemu Lushoto, Mkoani Tanga Ijumaa Mei 6, 2014.

Rais Tanzania aliyekuwa hana makuu ni Nyerere tu hawa wengine waliofuata ni calculating maana wafanyavyo ni tofauti na waishivyo kwa kujiimbikizia mali na familia zao
 
Safi mr President,mama Zito amezikwa bila ya kuwepo viongozi wake ambao walifanya kazi pamoja kwa muda mrefu kujenga chama,na pia marehemu ni mama wa aliyepata kuwa kiongozi wa chama,uhasama wa kisiasa tunapeleka hadi misibani...siasa za kibongo bhana majungu tupu..

kwani alikuwapo kwenye msiba wa bibi yako?
 
Sometimes J.K anaelement ambazo rais waliopita hawakuana nazo.
 
Ooyooo awe na makuu na asiwe na makuu lakini bahati ya mwenzako usielalie mlango wazi wataengea vibaka na hapo huna wa kumlilia na na neno la makuu nenda kachambuie dikshinari utaipata maana hata Rais wa awamu ya kwanza kanena kiswahili ni kigumu jamaani
 
Heading ilinifanya nidhani labda ni msiba wa "kajamba nani" kumbe wa mfanyakazi wake wa Ikulu?
Anyway, RIP Ernesti B. Ngereza, mfanyakazi wa Ikulu...
 
Hana makuu gani kujaza makomando nyumba ya ibada?
 
kwa hili la kuhudhuria masiba raisi wangu hana mpinzani.anastahili pongezi.
 
Hakika Nyerere peke take hakuwa na makuu waliomfuatilia ni balaa NASA Mzee mkahapa name huyu Wa angani muda wrote hiyo ndio CCM bwana
 
Back
Top Bottom