Rais asihusishwe kamata kamata za CHADEMA

View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
4Rs ??!!
😱🤦🏽‍♂️ !
 
Mbona hajatoa kauli kulemea ujinga huo?
 
Wanasema " and the buck stops with her". Siioni mtamchomoa vipi. Yakiwa mazuri sifa kwake vinginevyo lawama kwa wengine. Hili lakwake.
 
mara nyingi Polisi wanajituma kukamata Wapinzani na sio kutumwa.
polisi wabadilishwe mtizamo "mindset" zao kuhusu upinzani na hususan kwa Hao Chadema. vinginevyo wanamhujumu Rais,kuwaweka ndani chadema haileti matokeo chanya kisiasa na kimataifa. Awadh mnampa wakati mgumu Amir Jeshi unless kama aliagiza
 
Rais anapotenda haki, vyombo vya ulinzi vinatenda haki zaidi. Rais asipotenda haki, vyombo vya ulinzi vitaiacha haki zaidi. Polisi wetu siku hizi hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria, ila inafanya kazi kwa mujibu wa maagizo kutoka juu. Tanzania we need police service, na isiwe police force !
 
View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Naunga mkono hoja yako
 
CM jisikitikie binafsi kwa kuwa mtu mnafiki, mtu mwenye upeo na uelewa duni na ambaye bila shaka huna mchango katika ustawi wa Taifa.

Hivi unaelewa maana ya Amiri Jeshi Mkuu? Unaelewa ukiambiwa mtu fulani ni overall in charge? Nikupe shule kidogo kama akili yako inaweza ku-grasp japo mambo mepesi. Amiri Jeshi Mkuu maana yake ni overall in charge wa majeshi yote. Hivyo ukiona kitu chochote majeshi hayo yanafanya maana yake ama yeye ameagiza yafanye hivyo au hata kama hakuagiza, basi ameridhia majeshi hayo yanachokifanya. Kama hajaridhia, siku hiyo au chache zijazo, utashudia msululu wa waliochukuliwa hatua.
 
View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Acha kuota alasiri.
Kwani walio tekeleza huo unyama ni ACT au ni wasaidizi wa huho mnae taka asiguswe?
Hata Mataifa ya nje wana jua ni serikali ya Ccm ime fanya buu upuuzi
 
Umesoma vizuri kilichoandokwa?
 
Back
Top Bottom