Rais asihusishwe kamata kamata za CHADEMA

View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Pumbafu. Huna akili.
 
Kiongozi bomu kuwahi kutokea tangu tanganyika iubwe
 
Unamaana Sisty kaamuru Jeshi la polisi na likatii na kumpeleka Awadh kukamata kamata bila Rais kujua
We kapimwe mkojo
 
View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Ni sawasawa na kusema NACHUKIA KITIMOTO LAKINI NAPENDA SUPU YAKE "

"I hate pork , but I like it's soup 🍲
🤓🤓🤣🤣 🐸🐸🐸
 
Anasifiwa kwa mambo ambayo serikali yake haijayafanya, lakini asilaumiwe kwa mambo ambayo serikali yake imefanya kupitia jeshi la polisi. Ma-zuzu tu ndio hufanya hivyo.
4R za Rais Samia ziko pale pale
 
View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Wafuasi wa Chadema wakitamka au wakikosea jambo Kwa nn Huwa mnamtaja Mbowe na Chadema?
 
4R za Rais Samia ziko pale pale
Mnaposema serikali ya Chama Cha Mapinduzi imefanya hiki na hiki mbona Huwa hamsemi Raisi hahusiki? Kwenye mabaya mnasema Hilo hayumo. Hata Nape aliposema kuhusu wizi wa kura mlimkana. Yule kijana aliposema kupoteza watu mlimkana. Na mtaendelea kuparaganyika. Jana nyaraka 2 za polisi tofauti wengine wanasema mikutano hairuhusiwi wengine inaruhusiwa looh shida.
 
View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Asihusiswe Vp na yeye ndiye rais,kama kweli hahusiki basi amuwajibishe mkuu wa jeshi la police na msajili wa. Fyama vya siasa
 
unajua maana na kazi za amiri jeshi mkuu?
unajua maana ya uwajibikaji wa pamoja?
unajua kwamba pale ikulu asubuhi huwa panafanyika breafing ya matukio yote ya kiusalama yaliyotokea na yanayotegemea kutokea?
je hili kwa akili yako raisi hajajulishwa kabla na baada?
IGP anawajibika kwa nani?
wakati mwingine tuache uchawa jamani nchi yetu sote hii
Mama hausiki. Sio suala suala la uchawa.
Kuna waziri kuna naibu waziri kuna chain of command.
Masauni hafai na anapaswa kupumzishwa. amefeli kabisa.
 
Unajua maana ya chain of commands. Unawezaje kumuweka boss nje ya chain of command? Kwani masaun ana pokea order kutuka kwa nani? Mfano masaun akijiuzulu barua anapeleka kwa nani?
 
View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Hivi watanzania huwa mnagikiri kwa kutumia kiungo gani?
 
Unajua maana ya chain of commands. Unawezaje kumuweka boss nje ya chain of command? Kwani masaun ana pokea order kutuka kwa nani? Mfano masaun akijiuzulu barua anapeleka kwa nani?
Rais hahusiki na msimamo wake uko wazi kabisa ni 4R
 
View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.

Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.

Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.

Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.

Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.

Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Ni ngumu kumtenganisha Rais na haya yanayotokea
 
Back
Top Bottom