macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,463
- 61,299
Mkuu ''Mkuu wa Kaya'' huyu mzembe asiyejua kutofautisha hata L na R asikukutishie, ukweli siku zote hushinda!Sina nia mbaya na wewe kama wewe, mimi sipo kisiasa ndomaana huwezi kukuta nashambulia chama fulani Ila tukubari hatuwezi jitenga na siasa maana siasa njo kila kitu. ni ngumu sana kwangu kukutenganisha wahusika wengine wa mauaji haya, hata kama alikufa mwanao. Asingekufa yeye tungeajuaje, ila mkuu umejishauri sana kwenye jambo kubwa la UGAIDI.
Mkuu tuamini nini tuache nini, mnatuchanganya mno!! Mbona M.Nchemba hana sura ya FRANKENSTEIN, sasa ukatiri mnao mtuhumu kajifunza wapi? kama nakumbuka vizuri niliwahi kuona picha aliyo kuwa amembemba mtoto wake mgongoni kwa mbereko, kisaikolojia hii inadhilisha nini? kwamba ana traits za u-split personality i.e ni mtu mwema kwa familia yake na close relatives lakini hajali Watanzania wenzake anao tofautiana nao kihitikadi - maanake hii ndio impression inayo tolewa na members wengi humu jamvini!! Binafsi siamni kama ana ukatili wa namna hiyo - he may be a forceful speaker lakini I don't think Nchemba is some monster - if my memories serves me right I don't recall M.Nchembe eating anyone dead or alive!! Kitu kingine kuna thread aliyo kuwa anajieleza kilicho jiri - watu wengi walimjibu lakini yeye alikaa kimya kwa nini hamjiulizi ni kwa nini? Mimi sio kwamba namtetea Nchemba au Nchimbi, kwanza hawanijui - ila wakati mwingine tujaribu kuchambanua matukio kwa kina - kwa watu wenye uelewa wa fani ya IT na Security hivi inaingia akilini kwamba Waziri nzima anaweza kutumia Webmail kuwasiliana na mwenzake masuala sensetive alafu ataje majina alisi, saa na sehemu ya kukutana na list ya watu wa kuwa-eliminate physically - hii inaingia akilini KWELI? Hivi Taifa letu limekwisha fikia hatua ya kuteua Viongozi ambao wako so SLOPPY, hawajui tofauti kati ya E-MAIL na Snail Mail wasijue mambo ya usalama wanapo pitisha E-mails zao kwenye CLOUD? hawajawahi kusikia cerficates, publickeys na privatekeys - JAMANI.
Mkuu unamaanisha kuwa Mwigulu na CCM yake wanaandaa mauaji ya halaiki kwa kila anayeipinga wana Chadema?
Mkuu kwanini hukuleta hapa jamvini hii habari, mara baada ya tukio au ukapeka kwa viongozi wachade, ambao nao waathirika wangejua nini cha kufanya. Hapa inaonesha umetumwa na kupoteza maslahi yako huko CCM, na sasa unatafuta pakushika. maana haingii akirini wananchi wenzio wameuwawa, na muuwaji unamju tena na damu yako imeangamia bado ukae kimya eti unaogopa kuawawa. Dah sijui hata kama mkeo anajua urikua mjumbe ktk kupanga mauji, yaliyo chukua uhai wa mwanenu.
Aah sasa wewe usiokuwa na akukutishie inamaanisha nini, acha kufuatia vitu vidogo, jibu hoja acha ushabiki unawezaje kuntenganisha huyu mauaji yale. Ama sababu kafa mwanae, sina nia kumlinda Mchemba. ila ina kuwaje mtanzania uone magaidi wanapanga kuangamiza watanzania wenzio, usichukue hatua baada ya miezi sita baadae ndo unandika kwenye mtandao, mimi sijapenda kutokea mauji kama CCM inahusika na ilaaniwe na wapenda amani wote. Tukumbuke hii mikutano yenu ya siasa inayokuwa ya hadhara, wanaohudhuria ni wanachama wanachama wa vyama vingine. Na wasiokua chama chochote.Mkuu ''Mkuu wa Kaya'' huyu mzembe asiyejua kutofautisha hata L na R asikukutishie, ukweli siku zote hushinda!
Mkuu kama unachosema ni ya siasa za maji taka, chukua hatua nenda mahakamani tafuta wanasheria, waone viongozi wa CDM wakupe msaada maana linawagusa. mimi nilikua nakuchalenji si kwa maana ya kukutisha, mimi siwezi kusaport uzembe, Naona yatosha tuishie hapa.Kila jambo na wakati wake
wakati ndio huu sasa.
Ili tuendelee tunahitaji ardhi,watu,siasa safi na uongozi bora,naona hapo kwenye siasa safi na uongozi bora ndio pana shida.
Jibu swali nililouliza, kwanini mpaka sasa hakuna aliyekamatwa?Hahaha Yericko bwana,ni mtunzi mzuri sana wa Riwaya.Tumia kipaji chako kwa maendeleo yako si kwaajili ya kujenga chuki.
Mkuu hata siku moja usije ukafikiri ccm wanaweza kukikemea kitendo cha Mwigulu. Wanaolaani ndani ya ccm ni ccm wachache tu, tena nakwambia kuna miccm mingine ilifika mbali na kunitumia msg za kunifariji huku wakiandika kuwa "usijali kwanza mwanao alikuwa ameshajiunga na chadema hivyo angekuwa mkubwa angekusumbua sana"
Nakuambia Chadema hawajijui tuu jinsi gani ccm inavyowachukulia na laiti wangejua wangeiama ata hii nchi na anaebisha asubirie 2015 ifike ndo ataamini nilichoandika leo.
Nasaport kauli yako mkuu.Kwamba 2015 watauwa watoto wako wote au watauwa wanachama wa CDM wote??
Mimi naona wamekuchelewesha sana wewe na familia yako, mlitakiwa muwe mmeshauwawa siku nyingi.
Watu hawawezi kufanya vitendo vya kinyama, uvunjifu wa amani, mauwaji, halafu uwe unaangalia na kufurahia na kujitapa eti CCM watafanya mambo mabaya kwa wanachama na viongozi wa CDM.
Kwanini mlikubali mfumo wa vyama vingi??
Kwanini mnaendesha siasa Chafu, mmeshindwa kuendesha nchi kwa ulafi wenu then mkiambiwa fanyeni hivi na hivi nchi ikae sawa, hamtaki badala yake mnaona CDM ndiyo anawaharibia wakati nyie ndiyo mnaharibu wenyewe.
Na tunavyoenda mtaona mnauwa wana CDM lkn mtajikuta mnajiuwa wenyewe na wewe ni mfano mmojawapo
Ukweli ni kwamba ccm hawawezi kukubali kuachia madaraka na wabunge na madiwani wengi wa ccm kwa sasa vibarua vyao vipo hatarini na anayeatarisha ajira za ccm ni Chadema, so kinachoendelea ni kuivuruga Chadema na kwasababu Chadema wana uongozi imara nina wasiwasi hilo la kuivuruga litashindikana na kitakachofuata ni plane B