Rais Anayeongoza kwa Kusafiri Afrika

Rais Anayeongoza kwa Kusafiri Afrika

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Wadau.. hivi katika Afrika ni Rais gani anayeongoza kusafiri nje ya nchi???
 
Marais wawili ambao hawatulii sana nchini mwao ni Jakaya Kikwete wa Tanzania na Robert Mugabe wa Zimbabwe (wenyewe humuita Vasco da Gama.)
 
unahitaji twishen bila shaka.
isije ukadhani tony blair ni rais wa tunisia bureee

.
Mie nadhani Nyerere anaesafiri kuliko nyerere wote Africa ni Jeikei. Huyu jamaa ni nyerere wetu wa mambo ya nje.
 
Wadau.. hivi katika Afrika ni Rais gani anayeongoza kusafiri nje ya nchi???
Mimi nilidhani ushafanya utafiti sasa unakuja kumwaga data kumbe unatafuta msaada wa ze dataz?
 
Back
Top Bottom