Rais anatembea na kiti chake kokote anakoenda?

Pengine vimelea vya homa ya mapafu ya kubana kifua vimegundulika kuambukiza kupitia vumbi la vigoda. Tahadhari lazima ichukuliwe.
 
Co yeye kuna watu wewe na mm wanalipwa kwa kazi hiyo tu. Kwani hata ratiba anapanga yye? Mbona huulizi kwamba hata mke/ mumewe halali nae kila siku mpaka asubuhi kama wewe ufanyavyo???
Kuna vitu ana uwezo wa kuvikataa. Ajifunze kwa Kikwete.. very humble guy
 
Back
Top Bottom