Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,926
- 33,758
Labda anamuogopa John Macelela maana huyo mzee aliwahi kusagiwa kunguni na Nyerere
Sheria inataka uzi uwe na maneno mangapi?Uzi tayari.
Kawaida mkuu! Yule wa Marekani akiwa ziarani hata gari ya kupigia misele inatoka kwao!!
Mi nahisi kaona masofa ya malecela hayana hadhi,yamekaa kigogo flan hivi 🤣🤣🤣Labda anamuogopa John Macelela maana huyo mzee aliwahi kusagiwa kunguni na Nyerere
Comparison fulaniView attachment 2631753
Hiyo ya mzee wa lupaso ni leather mkuu🙏huku kwa mgogo ni kitambaa Cha fundi juma🤣🤣🤣
Sasa ndo ajitwishe kigoda eti aende nacho, eti kwamba kwani msibani pale hakuna viti? Si ndo BLACK MOVEMENT anaulizaKamtembelea usiku kama mzee alivyoenda kwa Ndungai ama
Waswahili mna mambo!!!
Hivi hapa ndo kwa viongozi sebule kali hivyo asee nimepapenda sana natamani ndo pangekuwa sitting room kwangu🙁Comparison fulaniView attachment 2631753
Walisema hata maji usiacheSasa ndo ajitwishe kigoda eti aende nacho, eti kwamba kwani msibani pale hakuna viti? Si ndo BLACK MOVEMENT anauliza
Co yeye kuna watu wewe na mm wanalipwa kwa kazi hiyo tu. Kwani hata ratiba anapanga yye? Mbona huulizi kwamba hata mke/ mumewe halali nae kila siku mpaka asubuhi kama wewe ufanyavyo???Huyu mama anajikweza sana
Kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona alipokuja Kamala alikalia kiti Cha Samia,hakuja na kiti toka USA?
Anyways huenda mama anakipenda kiti chake Sana [emoji28][emoji28][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ya mzee wa lupaso ni leather mkuu[emoji120]huku kwa mgogo ni kitambaa Cha fundi juma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]