Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
- Thread starter
-
- #21
wewe si unamuona obama yuko mtaani anasukuma toroli lenye bidhaa alizotoka kununua sokoni,...tena kwa usafiri wa miguu kabisa
Huwa anakaa siti ya nyuma, hii ilipangwa kwa ajiri ya kupigia picha tuu akiwa anawakejeri watoto wa masikini.
Sijajua bado vyombo vya usalama nchini utaratibu wa kuongoza misafara ya wakubwa serikalini hasa Rais katika vyombo vya usafiri. Mapokeo na utaratibu wa nchi nyingi duniani Rais anaposafiri kwa kutumia usafiri wa gari hukaa passenger seat ya kati wakati wanausalama wake hukaa viti vya mbele na kama kuna viti zaidi nyuma ya rais. Sasa hii picha naona Rais kakaa kiti cha mbele, hii imekaaje?
changanya na zako mbayuwayu wewe.....avatar umewekewa nn??
huzijui Nazi! mbona bagamoyo nyingi sana na za msoga ndo nzuri, siku hizi azam naye anauza zilizokunwa
Naskia za msoga koroma
huzijui Nazi! mbona bagamoyo nyingi sana na za msoga ndo nzuri, siku hizi azam naye anauza zilizokunwa
Kwa hiyo unataka kusemaje mkuu!!, au nichanganye na zangu ili niishi kimjini mjini
Sijajua bado vyombo vya usalama nchini utaratibu wa kuongoza misafara ya wakubwa serikalini hasa Rais katika vyombo vya usafiri. Mapokeo na utaratibu wa nchi nyingi duniani Rais anaposafiri kwa kutumia usafiri wa gari hukaa passenger seat ya kati wakati wanausalama wake hukaa viti vya mbele na kama kuna viti zaidi nyuma ya rais. Sasa hii picha naona Rais kakaa kiti cha mbele, hii imekaaje?
Sijajua bado vyombo vya usalama nchini utaratibu wa kuongoza misafara ya wakubwa serikalini hasa Rais katika vyombo vya usafiri. Mapokeo na utaratibu wa nchi nyingi duniani Rais anaposafiri kwa kutumia usafiri wa gari hukaa passenger seat ya kati wakati wanausalama wake hukaa viti vya mbele na kama kuna viti zaidi nyuma ya rais. Sasa hii picha naona Rais kakaa kiti cha mbele, hii imekaaje?
Kuwa na adabu acha matusi!Naskia za msoga koroma
Chuki!Kuwa na adabu acha matusi!
Harufu ya udini!anauza sura
Akikaa nyuma atonaje totoz??????
Hilo gari akifunga dirisha kiti kinampeleka kwenye buti aotomatically hapo anazuga tu