Rais anapotembelea ofisi mbalimbali

Rais anapotembelea ofisi mbalimbali

PHD ya Misitu hawezi danganywa na Diploma wa civil engineering? wewe una PHD ya nini kiasi cha kutoa hoja mfu kama hii?

Nilivyokua undergraduate kuna undergraduate mwenzangu wa political science alienda kwao akakuta amerundikiwa maredio kutengeneza ati kwa sababu tuu anasoma chuo kikuu, sawasawa na hoja yako! I doubt kama una PHD! au ni kama za wakuu wengine ambazo wanajua wenyewe wamezipataje!
 
Sija wahi, ila tu nikiangalia tarifa ya habari naona wanao mjibu Raisi hawako sawa, maana naona anauliza vitu vya msingi kabisa mfano anapouliza kwanini dirisha limefungwa, na wewe huoni kama kuna gari ngapi zimepita, na kwa nini information zinapoingizwa kule wewe huzioni. ? hili swali la muhimu na lina maana, sasa wewe unaanza kujitetea, we ungesema tu kwamba Mkuu nashukuru tutabadilisha utaratibu leo, leo. Sio kuanza kusema eti, eti, eti kuna watu tumepangiana kila mtu sehemu yake. Hili sio jibu ndio maana Mh. Raisi akaondoka. Tatizo jingine nimegundua watu hawana maadili, mkubwa akiwa anaongea sio busara kwako kuanza kushindana nae. Kuna msemo unasema mkubwa hakosei-hii ina maana sio kwamba hakosei ila anakosea lakini analekebishwa ili aonekane hajakosea, hii ndio adabu njema. Hata kama baba yako kakosea usianze baba umekosea sana, no tumia good approach kumuelewesha sio kubishana. Nitajitahidi kutoa elimu humu JF
Unalotafuta utapata
 
Inajiludia = inajirudia

Kili = kiri

Ndugu msomi wa PhD kama hujui kuandika mimi nawashawishi vipi wanafunzi wangu wa darasa la nne waandike vizuri?
Katika lungha adhimu ya kiswahili kuna kipengele cha makosa ya kisarufi na kuathiriwa kwa lugha mama, sasa hili jambo huwa hatulihusianishi sana na usomi wa mtu huwa tunasema mtu huyu ameathiriwa na lugha mama usihukumu kwa matamshi yake au uandishi wake, mfn. Kabila la watu wa Tarime nemo kulamba wanasema kuramba hapo r na l nikuathiriwa kwa lugha mama. Asante
Inajiludia = inajirudia

Kili = kiri

Ndugu msomi wa PhD kama hujui kuandika mimi nawashawishi vipi wanafunzi wangu wa darasa la nne waandike vizuri?
 
Nimeona mara mbili sasa inajirudia, Rais anapotembelea ofisi (mfano airport, na pale bandarini) anapouliza maswali na kubaini makosa watu waliowekwa pale huanza kujitetea, nakutaka kumfundisha rais (kumlecture).

Mimi kwa maoni yangu sio jambo zuri kwa wewe mtumishi kuanza kubishana na rais, hii sio adabu kabisa. Lazima ujue unaongea na mkubwa anapokuambia kuna tatizo sehemu fulani we kili tu huwezi kufa, kwani ukikili harafu ukajirekebisha kunatatizo gani?.

Pia watu lazima wajue Rais wetu Magufuli ana PhD sio ya kupewa, kasomea hivyo siyo rahisi kwa mtu mwenye PhD kudanganywa kijinga kijinga, kama walizoea kudanganya wabadilike.

Mtu anayetuongoza ni msomi sio rahisi kumdanganya. Mfano pale bandarini anakueleza kwamba kwanini mtu aki feed information kule wewe huoni unapokuwa ofisini, oo eti, eti eti. Kwanini usiseme tu kwamba nimekosea na nitajirekebisha au tutajirekebisha.

Mimi wakati nasoma MSc nilikuwa nambishia Prof wangu juu ya topic fulani akaniambia don't lecture me, baadae nikajifunza unapomsikiliza Prof unajua mengi ambayo ulikuwa hujui kuliko kuanza kujifanya na wewe much know.

Nilipokuwa nafanya PhD niliendelea kumsikiliza Prof bila kumbishia ila tu nilikuwa natoa maoni kwanini isiwe hivi, na Prof alikuwa anajibu na kuonyesha njia.

Nawaomba watanzania wenzangu wajue Dr. Magufuli sio Dr wa kuchoma sindano, au Dr wa kupewa, ni PhD holder. Huwezi ukamyumbisha kijinga kijinga.

Ujue watu kama hawa waliosoma hawayumbishwi kijinga, huwa hawatetemeshwi na nyau.

Angalia hata Prof Muhongo, huwezi ukamshake kwa maneno yako yasiokuwa na kichwa au miguu. Hata wazungu wanajua kwamba tunaenda kuonana na mtu msomi sio yes man.

Zamani akija mzungu tu wizarani, utasikia waziri, ee tujiandae kwa mapokezi maalumu. Hayo yamepitwa na wakati kwa serikali yenye wasomi kama ya JPM.

Watu walikuwa wanakuja na begi tu eti anataka kuwekeza na walikuwa wanakubaliwa ila angalia sasa hivi hawaji, wameshasoma upepo.

Sasa watanzania tubadilike, Rais akija kwako akibaini kuna makosa, kubali halafu badilika, sio kujitetea. Hii inatuonyesha hufai maana hujui unacho kifanya.

Muungwana anakubali na anabadilika.

IPPMEDIA | The Guardian ,The Guardian on Sunday, Nipashe, Nipashe Jumapili
 
kwanza anaendaje ofisi za watu bila utaratibu, kuna anae enda ofisi yake magogoni kwa kushtukiza.. mambo aya tuanze nayo katika level ya familia.. baba unataka kuongea na kijana wako wa miaka 15 piga hodi.. ukifungua tu mlango kwa kushtukiza utakutana na video ya wazi paka unaweza uliza dah, dogo umetoa wapi iyo video! gonga hodi mpe nafasi dogo ajiandae. sembuse watu wazima wenye elimu zao na vyeo vyao.. tunashtuana kama wanyama bana! no ustaarabu
 
Back
Top Bottom