Rais anapotembelea ofisi mbalimbali

Rais anapotembelea ofisi mbalimbali

..we mtoa mada PhD yako ni ya kitandani nini?...kwa maana ya ujuzi wa kuinama...inasikitisha unapotetea umbuzi/ukondoo wa mtu kuwa 'yes man' hata kama kinachosemwa na mkuu ni utumbo.....we ni sehemu ya tatizo....nyie ndio hata mkipewa nafasi mnashindwa kuwashauri hawa wakuu...pamoja na elimu zenu za kitandani mnazodai mnazo....yani we kwakua mkuu wako amekuzidi cheo...basi hata akiongea utumbo sawa tu!!...you need to go back to class...if you ever have been there.....
 
Huyu kama kweli yuko na hiyo PhD anasema basi kichwani hana tofauti na mtu wa STD iv
 
Nimeona mara mbili sasa inajirudia, Rais anapotembelea ofisi (mfano airport, na pale bandarini) anapouliza maswali na kubaini makosa watu waliowekwa pale huanza kujitetea, nakutaka kumfundisha rais (kumlecture).

Mimi kwa maoni yangu sio jambo zuri kwa wewe mtumishi kuanza kubishana na rais, hii sio adabu kabisa. Lazima ujue unaongea na mkubwa anapokuambia kuna tatizo sehemu fulani we kili tu huwezi kufa, kwani ukikili harafu ukajirekebisha kunatatizo gani?.

Pia watu lazima wajue Rais wetu Magufuli ana PhD sio ya kupewa, kasomea hivyo siyo rahisi kwa mtu mwenye PhD kudanganywa kijinga kijinga, kama walizoea kudanganya wabadilike.

Mtu anayetuongoza ni msomi sio rahisi kumdanganya. Mfano pale bandarini anakueleza kwamba kwanini mtu aki feed information kule wewe huoni unapokuwa ofisini, oo eti, eti eti. Kwanini usiseme tu kwamba nimekosea na nitajirekebisha au tutajirekebisha.

Mimi wakati nasoma MSc nilikuwa nambishia Prof wangu juu ya topic fulani akaniambia don't lecture me, baadae nikajifunza unapomsikiliza Prof unajua mengi ambayo ulikuwa hujui kuliko kuanza kujifanya na wewe much know.

Nilipokuwa nafanya PhD niliendelea kumsikiliza Prof bila kumbishia ila tu nilikuwa natoa maoni kwanini isiwe hivi, na Prof alikuwa anajibu na kuonyesha njia.

Nawaomba watanzania wenzangu wajue Dr. Magufuli sio Dr wa kuchoma sindano, au Dr wa kupewa, ni PhD holder. Huwezi ukamyumbisha kijinga kijinga.

Ujue watu kama hawa waliosoma hawayumbishwi kijinga, huwa hawatetemeshwi na nyau.

Angalia hata Prof Muhongo, huwezi ukamshake kwa maneno yako yasiokuwa na kichwa au miguu. Hata wazungu wanajua kwamba tunaenda kuonana na mtu msomi sio yes man.

Zamani akija mzungu tu wizarani, utasikia waziri, ee tujiandae kwa mapokezi maalumu. Hayo yamepitwa na wakati kwa serikali yenye wasomi kama ya JPM.

Watu walikuwa wanakuja na begi tu eti anataka kuwekeza na walikuwa wanakubaliwa ila angalia sasa hivi hawaji, wameshasoma upepo.

Sasa watanzania tubadilike, Rais akija kwako akibaini kuna makosa, kubali halafu badilika, sio kujitetea. Hii inatuonyesha hufai maana hujui unacho kifanya.

Muungwana anakubali na anabadilika.

We unataka kusema sisi "Dr. Wa kuchoma sindano" ndio tunayumbishwa kijinga kijinga
 
KWA HIYO ANAPOULIZA ASIELEWESHWE,KILA MTU ANAKITENGO CHAKE SASA WEWE MGENI LAZIMA UMSIKILIZE MWENYEJI NA PIA UUMPE NAFASI AKUELIMISHE
ni kweli alipewa maelezo, lakini maelezo yale hayana mashiko ndio maana ana suggest kwa nini isiwe hivi, na hivi. Anapotoa suggestions wewe kubali usianze kueleza yako. Yeye anaona mbali, kama wewe unaona karibu tulia ujifunze.
 
..we mtoa mada PhD yako ni ya kitandani nini?...kwa maana ya ujuzi wa kuinama...inasikitisha unapotetea umbuzi/ukondoo wa mtu kuwa 'yes man' hata kama kinachosemwa na mkuu ni utumbo.....we ni sehemu ya tatizo....nyie ndio hata mkipewa nafasi mnashindwa kuwashauri hawa wakuu...pamoja na elimu zenu za kitandani mnazodai mnazo....yani we kwakua mkuu wako amekuzidi cheo...basi hata akiongea utumbo sawa tu!!...you need to go back to class...if you ever have been there.....
Ndg yangu tatizo nimegundua ni maadili, watu hamna maadili, baba anaongea na mtoto anaongea, hilo ni tatizo kubwa sana, dawa yake ni kuzaliwa mara ya pili John 3:5 Jesus answered 'most assuredly I say to you, unless one is born of water and the Spirit, he cannot enter the kingdom of God' verse 6. That which is born of the flesh is flesh and that which is born of the Spirit is spirit.
 
Ni Mungu tu hadanganyiki wala hadanganyi.
Ndg yangu ujue tangu leo Mungu hukaa ndani ya watu, kama ulikuwa hujui leo jua John 14:23- Jesus replied, “Anyone who loves me will obey my teaching. My Father will love them, and we will come to them and make our home with them. 1Corinthian 3:16-Don’t you know that you yourselves are God’s temple and that God’s Spirit dwells in your midst?, 2Corinthian 6:16-What agreement is there between the temple of God and idols? For we are the temple of the living God
 
Mbona Lipumba na Phd yake kachezewa Chekundu Cheusi na CCM?
 
Raisi siyo Mungu, hivyo kama kuna kitu amekuwa misinformed kwakuwa ameuliza hapo hapo usipompa jibu la ukweli na sahihi kulingana na taaluma au utendaji kazi hapo hapo ataamini kile alichambiwa ambacho ni uongo mtupu ukaishia kubebeshwa mizigo, umeshawahi kuangalia movie ya The Dictator?
 
Sija wahi, ila tu nikiangalia tarifa ya habari naona wanao mjibu Raisi hawako sawa, maana naona anauliza vitu vya msingi kabisa mfano anapouliza kwanini dirisha limefungwa, na wewe huoni kama kuna gari ngapi zimepita, na kwa nini information zinapoingizwa kule wewe huzioni. ? hili swali la muhimu na lina maana, sasa wewe unaanza kujitetea, we ungesema tu kwamba Mkuu nashukuru tutabadilisha utaratibu leo, leo. Sio kuanza kusema eti, eti, eti kuna watu tumepangiana kila mtu sehemu yake. Hili sio jibu ndio maana Mh. Raisi akaondoka. Tatizo jingine nimegundua watu hawana maadili, mkubwa akiwa anaongea sio busara kwako kuanza kushindana nae. Kuna msemo unasema mkubwa hakosei-hii ina maana sio kwamba hakosei ila anakosea lakini analekebishwa ili aonekane hajakosea, hii ndio adabu njema. Hata kama baba yako kakosea usianze baba umekosea sana, no tumia good approach kumuelewesha sio kubishana. Nitajitahidi kutoa elimu humu JF
 
sasa kama unataka nikujibu vizuri mbona unaniuliza mbele ya kamera halafu kabla sijajibu unajibu wewe halafu unauliza tena? nitakudanganya tu kwani hakuna namna!
 
Yaani we wa ajabu kweli! Mtu akiwa na PhD asiambiwe ukweli. Hii kufikiri mtu akiwa na PhD anajua kila kitu ni woga/ulimbukeni uliopitiliza. Yaani watu hata na PhD yako unakuwa mwoga kama nini sijui, wengine si watajificha uvunguni. Acha kujenga na kuhamasisha nidhamu ya woga. Watu wahamasishwe kufanya kazi kwa bidii na kuusema ukweli kama ulivyo bila kujali ukweli unamuuma nani!
 
Sija wahi, ila tu nikiangalia tarifa ya habari naona wanao mjibu Raisi hawako sawa, maana naona anauliza vitu vya msingi kabisa mfano anapouliza kwanini dirisha limefungwa, na wewe huoni kama kuna gari ngapi zimepita, na kwa nini information zinapoingizwa kule wewe huzioni. ? hili swali la muhimu na lina maana, sasa wewe unaanza kujitetea, we ungesema tu kwamba Mkuu nashukuru tutabadilisha utaratibu leo, leo. Sio kuanza kusema eti, eti, eti kuna watu tumepangiana kila mtu sehemu yake. Hili sio jibu ndio maana Mh. Raisi akaondoka. Tatizo jingine nimegundua watu hawana maadili, mkubwa akiwa anaongea sio busara kwako kuanza kushindana nae. Kuna msemo unasema mkubwa hakosei-hii ina maana sio kwamba hakosei ila anakosea lakini analekebishwa ili aonekane hajakosea, hii ndio adabu njema. Hata kama baba yako kakosea usianze baba umekosea sana, no tumia good approach kumuelewesha sio kubishana. Nitajitahidi kutoa elimu humu JF

wa kupewa elimu ni wewe, Raisi kwa kuwa ameuliza on spot na wewe unamjibu on spot, kama kakuuliza mbele ya camera ina maana anategemea umpe jibu hapo hapo mbele ya camera, usipompa unamuongezea kuamini kile anachokiamini hata kama siyo sahihi, tukubaliane tuu raisi hawezi kujua kila kitu ndio maana kunakuwa na washauri wake, mambo mengine kama ya IT nahisi raisi atakuwa ni layman kwa sababu kwanza siyo profession yake

Kitu kingine yule ni raisi inawezekana kabisa hawa wafanyakazi wakawa na hofu ya kumjibu hivo kujichanganya kwa sababu kwanza amekuja na timu kubwa, unajua ukizingua unatumbuliwa, mabosi zako wako hapo na pressure ya kuyokea kwenye vyombo vya habari nna uhakika hata wewe timu kubwa hivuyo ikija ofisini kwako unaweza hata ukajikoloea kwa uoga unaouonyesha, raais anataka watu kama hawa wanaompa majibu na kusimamia kilicho sawa nidhamu ya uoga siyo nidhamu
 
Back
Top Bottom