Izy_Name
JF-Expert Member
- Apr 9, 2020
- 1,061
- 2,552
Kama anathubutu kusema walio andamana ni watu kutoka nje ya nchi kwa maana hiyo kazi ya kulinda taifa imemshinda, kama watu zaidi ya millions walio andamana mikoa yote sio watanzania je wameingia kwa njia gani hapa tanzania
Pia ametumia njia gani kugundua kuwa sio watanzania na anchukua hatua gani kuwarejesha kwenye nchi zao pia tungependa kuwekwa wazi ataje mataifa yao ili barozi zao zithibitishe au kukana na kuvunja uhusiano wa ki-diplomacy moja kwa moja pia na mimi nijulishwe kuwa mimi ni raia wa taifa gani maana niliandamana