Rais alisema asiposafiri tutakufa na njaa. Sasa mbona hasafiri??

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
15,396
12,979
Kuna story ilikuja humu enzi zile wakati mzee wa kaya alikuwa anakuja nyumbani kubadilisha suit na kuanza safari nyingine ughaibuni. Nasikia that time hata carpet pale airport lilikuwa halikunjwi na mabalozi walishachoka kusindikiza msafara.

Wakati huo akiwa na safari ruruki alidai kuwa anakwenda khangaikia kupata pesa kutoka kwa wahisani, na asipofanya hivyo tutakufa na njaa.

Sasa kama story ni ya kweli mbona sasa hasafiri tena?? Je, ina maana anataka tufe na njaa. je barua ya katibu wa wizara ya fedha itatosha kutupatia pesa za wahisani kutuokoa na janga la njaa ukichukulia kuwa Katibu wa wizara ya fedha anadai zaidi ya wilaya 13 HALI NI MBAYA???
 
Ulikuwa ubishoo!!!!
Sasa keshalikoroga
amechakachua kura dunia inajua.
Ameua waandamanaji dunia inajua.
Analinda wezi dunia inajua.
Hana pa kwenda waandishi wa habari wa majuu watamtaiti mpaka ataanguka kama mwanza na dar. Na alivyokilaza hawezi kujibu. "hata mimi sijui kwa nini nchi yangu ni maskini wakati tuna raslimali" "Simfahamu mmiliki wa DOWANS" YAMEMSHUKA!
 
Hata watanzania siwaujui!

ulikuwa ubishoo!!!!
Sasa keshalikoroga
amechakachua kura dunia inajua.
Ameua waandamanaji dunia inajua.
Analinda wezi dunia inajua.
Hana pa kwenda waandishi wa habari wa majuu watamtaiti mpaka ataanguka kama mwanza na dar. Na alivyokilaza hawezi kujibu. "hata mimi sijui kwa nini nchi yangu ni maskini wakati tuna raslimali" "simfahamu mmiliki wa dowans" yamemshuka!
 
Back
Top Bottom