Suzy Elias JF-Expert Member Joined Nov 9, 2021 Posts 1,056 Reaction score 6,208 May 16, 2022 #1 Ndiyo na ni suala la muda tu.
Nations JF-Expert Member Joined May 4, 2022 Posts 4,892 Reaction score 16,997 May 16, 2022 #2 Makamu wa Rais to Rais Big No... Imekuwa kwa Samia Hassan kwasababu ya special case 😎
britanicca JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 17,181 Reaction score 41,651 May 16, 2022 #3 We unajua Urais ni Rahisi? Hana sifa ya Kuwa Rais TANZANIA Bwana
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,752 Reaction score 86,392 May 16, 2022 #4 Tuachane na hilo vipi umeacha upanya road we kibambala..?
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,985 Reaction score 21,235 May 16, 2022 #5 Suzy Elias said: View attachment 2226710 Ndiyo na ni suala la muda tu. Click to expand... Mi naenda na kawe hatuchanjiiiii!!!!?tunachanjaaaaa!!!?
Suzy Elias said: View attachment 2226710 Ndiyo na ni suala la muda tu. Click to expand... Mi naenda na kawe hatuchanjiiiii!!!!?tunachanjaaaaa!!!?
Suzy Elias JF-Expert Member Joined Nov 9, 2021 Posts 1,056 Reaction score 6,208 May 16, 2022 Thread starter #6 britanicca said: We unajua Urais ni Rahisi? TANZANIA Bwana Click to expand... Huna msimamo ewe mwanamtoka pabaya!
britanicca said: We unajua Urais ni Rahisi? TANZANIA Bwana Click to expand... Huna msimamo ewe mwanamtoka pabaya!
Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,702 Reaction score 35,755 May 16, 2022 #7 Huyo mwamba mweupe dunia ipo mkononi mwake hebu aharakishe basi huu mchakato😜
C Criterion JF-Expert Member Joined Jan 8, 2008 Posts 11,797 Reaction score 11,899 May 16, 2022 #8 Suzy Elias said: View attachment 2226710 Ndiyo na ni suala la muda tu. Click to expand... _King said: Makamu wa Rais to Rais Big No... Imekuwa kwa Samia Hassan kwasababu ya special case 😎 Click to expand... Pengine hujui. Makamu wa rais ni ofisi, siyo jina la mtu.
Suzy Elias said: View attachment 2226710 Ndiyo na ni suala la muda tu. Click to expand... _King said: Makamu wa Rais to Rais Big No... Imekuwa kwa Samia Hassan kwasababu ya special case 😎 Click to expand... Pengine hujui. Makamu wa rais ni ofisi, siyo jina la mtu.
Nations JF-Expert Member Joined May 4, 2022 Posts 4,892 Reaction score 16,997 May 16, 2022 #9 Criterion said: Pengine hujui. Makamu wa rais ni ofisi, siyo jina la mtu. Click to expand... acha kuchenga chenga mambo hakuna asie jua hilo, umeweka picha ya nani na huyo ni nani sasa hivi ?
Criterion said: Pengine hujui. Makamu wa rais ni ofisi, siyo jina la mtu. Click to expand... acha kuchenga chenga mambo hakuna asie jua hilo, umeweka picha ya nani na huyo ni nani sasa hivi ?
C Criterion JF-Expert Member Joined Jan 8, 2008 Posts 11,797 Reaction score 11,899 May 16, 2022 #10 Tatizo mijadala hii inatakiwa kugawanywa kwa viwango. Na hii ndio sababu mnawapa shida moderators kwa sbabu ya uwezo hafifu wa kuelewa. Pole sana. _King said: acha kuchenga chenga mambo hakuna asie jua hilo, umeweka picha ya nani na huyo ni nani sasa hivi ? Click to expand...
Tatizo mijadala hii inatakiwa kugawanywa kwa viwango. Na hii ndio sababu mnawapa shida moderators kwa sbabu ya uwezo hafifu wa kuelewa. Pole sana. _King said: acha kuchenga chenga mambo hakuna asie jua hilo, umeweka picha ya nani na huyo ni nani sasa hivi ? Click to expand...
Nations JF-Expert Member Joined May 4, 2022 Posts 4,892 Reaction score 16,997 May 16, 2022 #11 Criterion said: Tatizo mijadala hii inatakiwa kugawanywa kwa viwango. Na hii ndio sababu mnawapa shida moderators kwa sbabu ya uwezo hafifu wa kuelewa. Pole sana. Click to expand... Huna akili wewe ndio maana unakuwa mwepesi kuona wengine hawana akili. Rudia kusoma comment yangu ya kwanza na nilichokujibu baada ya ku quote ulicho andika ndio utajiona ulivyo mkurupukaji
Criterion said: Tatizo mijadala hii inatakiwa kugawanywa kwa viwango. Na hii ndio sababu mnawapa shida moderators kwa sbabu ya uwezo hafifu wa kuelewa. Pole sana. Click to expand... Huna akili wewe ndio maana unakuwa mwepesi kuona wengine hawana akili. Rudia kusoma comment yangu ya kwanza na nilichokujibu baada ya ku quote ulicho andika ndio utajiona ulivyo mkurupukaji
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,555 May 16, 2022 #12 Hayo maneno ya kiarabu hapo vipi au sio TZ🤷
Babe la mji JF-Expert Member Joined Dec 14, 2019 Posts 980 Reaction score 2,059 May 16, 2022 #13 Suzy Elias said: View attachment 2226710 Ndiyo na ni suala la muda tu. Click to expand... Wewe unaota tu huyo hawezi kuwa Rais hata siku moja .Ajae yupo na sio huyo Mpango.
Suzy Elias said: View attachment 2226710 Ndiyo na ni suala la muda tu. Click to expand... Wewe unaota tu huyo hawezi kuwa Rais hata siku moja .Ajae yupo na sio huyo Mpango.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,016 Reaction score 69,398 May 16, 2022 #14 Zabayanga Hapana
lukinga01 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 440 Reaction score 405 May 17, 2022 #15 RAISI AJAYE said: Mi naenda na kawe hatuchanjiiiii!!!!?tunachanjaaaaa!!!? Click to expand... Naunga mkonyo hoja.
RAISI AJAYE said: Mi naenda na kawe hatuchanjiiiii!!!!?tunachanjaaaaa!!!? Click to expand... Naunga mkonyo hoja.