natumbaku Chambeho
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 551
- 209
"Ndugu zangu nafarijika sana kwa kauli zenu lakini hili suala la urais ni kubwa, tumuache huyu aliye juu (Mungu), yeye akiamua liwe linakuwa," By Lowassa........ Mtanzania tarehe 9.2.2015
Kiburi cha fedha bwana, acha tu, kuwa mtu anamua kukejeli hata muumba wake. Huku anahangaika kununua na kuhonga watu, huku anadanganya Mungu ndie atakaye amua. Mshindwe na mlegee muache kumkejeli Mungu.