Nakumbuka enzi za mwalimu Nyerere kulikuwa na operation kabambe ya kukamata wahujumu uchumi na kutaifisha mali zao, watu walimwaga pesa mtoni kuepuka kukamatwa na wengine walitoroka nchi na mali zao kutaifishwa ,naomba rais ajaye arudie hili zoezi.
umejibu vema mkuuSheria ya kushughulikia wahujumu uchumi ipo tofauti na wakati wa nyerere ambapo mtu alikuwa akionyesha kidole tu kuwa yule ni mhujumu uchumi basi watu wanaanza kukimbiza mtu wa watu barabarani na maporini kama kibaka kuwa ni mhujumu uchumi.
Sasa hivi ukiwa na ushahidi kuwa mtu ni mhujumu uchumi anapelekwa mahakamani kuhukumiwa hahukumiwi barabarani kama wakati wa nyerere.Sasa hivi nchi inaongozwa na sheria sio mihemuko ya kisiasa,hisia na mob justice.
Nakumbuka enzi za mwalimu Nyerere kulikuwa na operation kabambe ya kukamata wahujumu uchumi na kutaifisha mali zao, watu walimwaga pesa mtoni kuepuka kukamatwa na wengine walitoroka nchi na mali zao kutaifishwa ,naomba rais ajaye arudie hili zoezi.
EL ataweza kweli hapo maana na yeyey yanasemwa semwa .......Hilo hakuna analiweza zaidi ya EL,ndio mtu pekee anayeweza sema na kutenda,so tumuombee MUNGU huyu ndugu CCM impitishe na tuweze kuwa na RAIS makini na mwenye focus hawa wengine kiukweli mimi binafsi sijaona bado kwani itakuwa business as usual