BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,720
- 6,527
Rais ajaye 2025 anapaswa kuvalia njuga suala la wizi wa pesa za umma, huyu wa sasa ameshindwa kabisa na inaonekana ni sehemu ya ufisadi pia. Tunahitaji Rais atakayedili na ufisadi tu make ndio chanzo cha matatizo yote kwenye nchi hii.
Huyu wa sasa amekuwa sio tu sehemu ya ufisadi bali pia amekuwa anawasamehe wezi kwa kuombwa na Wastafu. Hivyo tunahitaji Rais atakaye dili na ufisadi hasa.
Sasa nitashangaa mno kama bado mtamurudisha huyu Ofisini, make huyu anapaswa kweda kulea Wajukuu wake kazi ya Urais haiwezi na ilitokea kama ajali tu kwake ni sawa na kuokota embe chini ya Mgomba.
Kazi kwenu wapiga kura kuhakikisha tunaoata Rais wa kupigania mali za umma zisimalizwe na mafisadi.