Rais aheshimu saa na siku za mapumziko

Rais aheshimu saa na siku za mapumziko

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
Imekuwa kawaida Sana kusikia Rais anateua na kutengua siku za weekend au hata usiku wa manane.

Taarifa zimekuwa kila mara zinapotoka hazijali kabisa ni saa ngapi na siku gani. Hata siku za sikukuu watu wametenguliwa na kuteuliwa.

Rais anatakiwa awe mfano Kwa waajiri wote na wakuu wote wa kazi.

Katika Taifa ambalo waajiri hawaheshimu Sana masaa ya kazi na siku za kupumzika..Rasi no vizuri akawa mfano bora ..

Ili watu wa chini yake wasitumie hayo mazoea ya Rais kunyanyasa watu wa chini. Na kuwafanyisha kazi na kufukuza na kuajiri bila kujali sikukuu au weekend au ni usiku.

Kama Rais hajali nini kitamzuia waziri au mkurugenzi kupitiliza masaa ya kazi Kwa kujifanya ni kuna Jambo muhimu Rais kaagiza?..

Nini kitazuia hata watu wa chini kutoa maagizo Kwa kuwapigia simu watu usiku au siku za weekend au za sikukuu?

Hata kama Rais ana utaratibu wake kaweka WA kufanya kazi weekend na sikukuu ..Yeye Rais Hana mtu wa juu anaempa maagizo...yeye anaweza kuamua wakati gani gani apumzike au afanye kazi..ni vizuri na yeye akaweka utaratibu wa kuheshimu Kwa wengine wa chini yake.

Kingine utoaji wa maagizo hadi siku za sikukuu na weekend ya kufukuza na kuteua huleta picha ya kama kuna dharura au Jambo ambalo haliwezi kusubiri wakati hao hao wanaotumbuliwa wanakuja kuteuliwa tena
 
Madaraka yakikupanda kichwani ndo hivyo. Usingizi ukikugomea tu unaamua kutumbua!

Tumblr_l_809488880146306.jpg
 
Sidhani kama uteuzi unahitaji anayeteua afanye hivyo muda wa masaa au siku zile za kazi...

Uteuzi ni tamko tu, isipokuwa kuapisha ndio kazi na bila shaka hufanywa siku na wakati wa kazi
 
Dunia wanja wamapambano na kazi muda wote wewe Kama unasiku za kazi na ambazo si za kazi wengine zako za kupumzika ndo wanaibukia Apo ukishuka wanarauka.
 
Rais anatumia busara kubwa kufanya utenguzi wakati wa mapumziko. Hii ni kwa sababu anajua mlengwa anakuwa na Familia yake wakati huo! Hivyo, ikitokea mlengwa akapokea utenguzi kwa hali isiyo ya kawaida, basi watu wake wa karibu watamsaidia haraka sana. Usalama wa mlengwa wa utenguzi ni muhimu zaidi kuliko kujali kutofanya utenguzi wakati wa mapumziko. Kwa hiyo, mpaka hapa sioni ubaya wa utaratibu Rais kutengua wakati wa mapumziko.
 
Alisema hakuna kula raha na hakuna aliye na uhakika wa kudumu miaka 5 kwenye uteuzi wake!
 
Sidhani kama uteuzi unahitaji anayeteua afanye hivyo muda wa masaa au siku zile za kazi...

Uteuzi ni tamko tu, isipokuwa kuapisha ndio kazi na bila shaka hufanywa siku na wakati wa kazi

Kwahiyo idara ya mawasiliano IKulu inafanya kazi masaa 24?
Hawana haki ya kupumzika?
Tamko likitolewa lazima watu mbalimbali wapigiwe simu wakati ni weekend au usiku au sikuu
 
Je Moto ukiwaka week end, mimi zimamoto nisizime kwa kusubiri mapaumziko yaishe?! Nadhani hii inabidi liagaliwe kwa upana inategemea kosa limefanyika lini, madhara yake yakoje nk. Mtumishi wa umma yuko kazini siku 365/ majuma 52/ miezi 12/ siku 7/ saa 24. Naomba tu mtoa maada tusaidiane tatizo likitokea week end suruhisho lisubiri?! Naomba way forward!
 
Je Moto ukiwaka week end, mimi zimamoto nisizime kwa kusubiri mapaumziko yaishe?! Nadhani hii inabidi liagaliwe kwa upana inategemea kosa limefanyika lini, madhara yake yakoje nk. Mtumishi wa umma yuko kazini siku 365/ majuma 52/ miezi 12/ siku 7/masaa 24. Naomba tu mtoa maada tusaidiane tatizo likitokea week end suruhisho lisubiri?! Naomba way forward!

Kwa matatizo ya dharura ni sawa
Je hizi tumbua na tengua zote ni dharura?
 
Imekuwa kawaida Sana kusikia Rais anateua na kutengua siku za weekend au
Hata usiku wa manaane..

Taarifa zimekuwa kila mara zinapotoka hazijali kabisa ni saa ngapi na siku gani..
Hata siku za sikukuu watu wametenguliwa na kuteuliwa..

Rais anatakiwa awe mfano Kwa waajiri wote na wakuu wote wa kazi..

Katika Taifa ambalo waajiri hawaheshimu Sana masaa ya kazi na siku za kupumzika..Rasi no vizuri akawa mfano bora ..

Ili watu wa chini yake wasitumie hayo mazoea ya Rais kunyanyasa watu wa chini
Na kuwafanyisha kazi na kufukuza na kuajiri bila kujali sikukuu au weekend au ni usiku...

Kama Rais hajali nini kitamzuia waziri au mkurugenzi kupitiliza masaa ya kazi Kwa kujifanya ni kuna Jambo muhimu Rais kaagiza?..

Nini kitazuia hata watu wa chini kutoa maagizo Kwa kuwapigia simu watu usiku au siku za weekend au za sikukuu?

Hata kama Rais ana utaratibu wake kaweka WA kufanya kazi weekend na sikukuu ..Yeye Rais Hana mtu wa juu anaempa maagizo...yeye anaweza kuamua wakati gani gani apumzike au afanye kazi..ni vizuri na yeye akaweka utaratibu wa kuheshimu Kwa wengine wa chini yake..

Kingine utoaji wa maagizo hadi siku za sikukuu na weekend ya kufukuza na kuteua huleta picha ya kama kuna dharura au Jambo ambalo haliwezi kusubiri wakati hao hao wanaotumbuliwa wanakuja kuteuliwa tena
Na Polepole a.k.a Mzee wa 'Unazijua Vietii wewe' na sio tu anapiga simu weekend bali ni weekend na tena ni Usiku anawapigia watumishi kujibu maswali ya Wananchi?

Sijui hakunaga utaratibu huko kwenye Serikali...
 
Sidhani kama uteuzi unahitaji anayeteua afanye hivyo muda wa masaa au siku zile za kazi...

Uteuzi ni tamko tu, isipokuwa kuapisha ndio kazi na bila shaka hufanywa siku na wakati wa kazi
Kumbe siku ya Uhuru 9/12/2020 ilikuwa siku ya Kazi
 
Rais anatumia busara kubwa kufanya utenguzi wakati wa mapumziko. Hii ni kwa sababu anajua mlengwa anakuwa na Familia yake wakati huo! Hivyo, ikitokea mlengwa akapokea utenguzi kwa hali isiyo ya kawaida, basi watu wake wa karibu watamsaidia haraka sana. Usalama wa mlengwa wa utenguzi ni muhimu zaidi kuliko kujali kutofanya utenguzi wakati wa mapumziko. Kwa hiyo, mpaka hapa sioni ubaya wa utaratibu Rais kutengua wakati wa mapumziko.
Wewe ndio hopeless kabisa.
 
Wewe ndio hopeless kabisa.
Dalili maarufu sana ya kushindwa katika hoja ni kumshambulia mtoa hoja kwa kejeli badala ya kujibu hoja hatua kwa hatua! Karibu kwenye klabu ya Tafakuri tunduizi, Mkuui!!! Ha ha haaa!
 
Hana hadhi huyo ya kuitwa Rais.
Imekuwa kawaida Sana kusikia Rais anateua na kutengua siku za weekend au
Hata usiku wa manane..

Back
Top Bottom