Rais aheshimu saa na siku za mapumziko

Rais aheshimu saa na siku za mapumziko

Tokea awe hivyo ( Rais ) mwaka 2015 Watanzania wamemshauri / tumemshauri mambo mengi tu ile je, hadi leo hii ametusikia au katupuuza mno?

Tupac aliwahi kusema tunaongea hata leo leo yasipofanyiwa kazi ..kuna mtu anaweza sikia leo akaja kuyafanyia kazi baadae...

Tunapomshauri yeye tunawashauri na Ma Rais watarajiwa pia.. anaweza akaja mwingine akaufanyia kazi ushauri
 
Si nilisikia mahala kuwa baada ya mwaka 2025 ataanza sasa kuitumikia miaka yake 14 kwa kuigawa kwa miaka 7 hivyo huyo Rais ajaye atoke wapi?
 
Sidhani kama uteuzi unahitaji anayeteua afanye hivyo muda wa masaa au siku zile za kazi...

Uteuzi ni tamko tu, isipokuwa kuapisha ndio kazi na bila shaka hufanywa siku na wakati wa kazi
Kwanini umfukuze kazi mtu siku ya sikukuu??
 
Kwanini umfukuze kazi mtu siku ya sikukuu??
Nafasi ya kuteuliwa sio kazi ya ajira, ni nafasi ya kupewa tu (dhamana)...

Mamlaka ya kuondolewa yapo kwa mteuzi na anaweza kukuondoa wakati unaofaa kwako au usiofaa...

Hizi nafasi hazina kusubiri sijui bodi au kamati ikae
 
Hoja dhaifu Sana Mimi ningependekeza weekends zifutwe maana hazina maana ,

Sasa Kama hata hatutengenezi toothpick wenyewe, hata sindano yenyewe tunashindwa tunalala ili tupate faida gani.

Umwinyi umwinyi huu madhara yake ndio mada kama hizi.
 
Back
Top Bottom