Rais aheshimu saa na siku za mapumziko

Rais aheshimu saa na siku za mapumziko

Imekuwa kawaida Sana kusikia Rais anateua na kutengua siku za weekend au
Hata usiku wa manane..

Taarifa zimekuwa kila mara zinapotoka hazijali kabisa ni saa ngapi na siku gani..
Hata siku za sikukuu watu wametenguliwa na kuteuliwa..

Rais anatakiwa awe mfano Kwa waajiri wote na wakuu wote wa kazi..

Katika Taifa ambalo waajiri hawaheshimu Sana masaa ya kazi na siku za kupumzika..Rasi no vizuri akawa mfano bora ..

Ili watu wa chini yake wasitumie hayo mazoea ya Rais kunyanyasa watu wa chini
Na kuwafanyisha kazi na kufukuza na kuajiri bila kujali sikukuu au weekend au ni usiku...

Kama Rais hajali nini kitamzuia waziri au mkurugenzi kupitiliza masaa ya kazi Kwa kujifanya ni kuna Jambo muhimu Rais kaagiza?..

Nini kitazuia hata watu wa chini kutoa maagizo Kwa kuwapigia simu watu usiku au siku za weekend au za sikukuu?

Hata kama Rais ana utaratibu wake kaweka WA kufanya kazi weekend na sikukuu ..Yeye Rais Hana mtu wa juu anaempa maagizo...yeye anaweza kuamua wakati gani gani apumzike au afanye kazi..ni vizuri na yeye akaweka utaratibu wa kuheshimu Kwa wengine wa chini yake..

Kingine utoaji wa maagizo hadi siku za sikukuu na weekend ya kufukuza na kuteua huleta picha ya kama kuna dharura au Jambo ambalo haliwezi kusubiri wakati hao hao wanaotumbuliwa wanakuja kuteuliwa tena
Umewahi sikia serikali ina lala? Je wajuwa Rais ndio Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote hivyo hana jp wala sikuku kila siku kazi ila ni uwamuzi wake kupumzika au kufanya kazi. Hivyo yuko sawa serikali ya wachapa kazi wewe lala.
 
Vipi kwani Boss umetenguliwa au ni rafiki yako😅?.
 
Dunia wanja wamapambano na kazi muda wote wewe Kama unasiku za kazi na ambazo si za kazi wengine zako za kupumzika ndo wanaibukia Apo ukishuka wanarauka.
Si mliyataka wenyewe! Tusuburi ahueni 2025
 
Kwahiyo idara ya mawasiliano IKulu inafanya kazi masaa 24?
Hawana haki ya kupumzika?
Tamko likitolewa lazima watu mbalimbali wapigiwe simu wakati ni weekend au usiku au sikuu

Yes, idara ya habari inafanya kazi muda wote, ni kama tu ilivyo kwa mashirika ya habari (redio, runinga na magazeti)...

Hao wanaopewa jukumu la kuandaa hizo barua, taarifa za teuzi maana yake wapo kazini kwa wakati huo (zamu)...
 
Extremely very stupid thread. Badala ya kumsifia Rais kwa kufanya kazi muda wote bila kujali muda wake binafsi wa kupumzika, wewe unamlaumu!? Pumbavu!!!
Amesema mwenyewe kuwa ameenda mapumzikoni Chato, ikiwa ni chini ya miezi 7 toka alipotoka mapumzikoni hukohuko. Aheshimu mapumziko, naamini anafahamu maana ya kupumzika
 
Je Moto ukiwaka week end, mimi zimamoto nisizime kwa kusubiri mapaumziko yaishe?! Nadhani hii inabidi liagaliwe kwa upana inategemea kosa limefanyika lini, madhara yake yakoje nk. Mtumishi wa umma yuko kazini siku 365/ majuma 52/ miezi 12/ siku 7/ saa 24. Naomba tu mtoa maada tusaidiane tatizo likitokea week end suruhisho lisubiri?! Naomba way forward!
Idara zenye dharula huwa zinafanya kazi masaa 24 kwa wafanyakazi wake kupeana zamu. Idara inafanya kazi masaa 24 lakini wafanyakazi wake wanafanya masaa 8 kwa siku na wana mapumziko kama kawa
 
Amesema mwenyewe kuwa ameenda mapumzikoni Chato, ikiwa ni chini ya miezi 7 toka alipotoka mapumzikoni hukohuko. Aheshimu mapumziko, naamini anafahamu maana ya kupumzika
Ninyi mliokimbiaGA makwenu na kuamini Dar ndio kwenu, ndio mnaolalamika.
 
Imekuwa kawaida Sana kusikia Rais anateua na kutengua siku za weekend au
Hata usiku wa manane..

Taarifa zimekuwa kila mara zinapotoka hazijali kabisa ni saa ngapi na siku gani..
Hata siku za sikukuu watu wametenguliwa na kuteuliwa..

Rais anatakiwa awe mfano Kwa waajiri wote na wakuu wote wa kazi..

Katika Taifa ambalo waajiri hawaheshimu Sana masaa ya kazi na siku za kupumzika..Rasi no vizuri akawa mfano bora ..

Ili watu wa chini yake wasitumie hayo mazoea ya Rais kunyanyasa watu wa chini
Na kuwafanyisha kazi na kufukuza na kuajiri bila kujali sikukuu au weekend au ni usiku...

Kama Rais hajali nini kitamzuia waziri au mkurugenzi kupitiliza masaa ya kazi Kwa kujifanya ni kuna Jambo muhimu Rais kaagiza?..

Nini kitazuia hata watu wa chini kutoa maagizo Kwa kuwapigia simu watu usiku au siku za weekend au za sikukuu?

Hata kama Rais ana utaratibu wake kaweka WA kufanya kazi weekend na sikukuu ..Yeye Rais Hana mtu wa juu anaempa maagizo...yeye anaweza kuamua wakati gani gani apumzike au afanye kazi..ni vizuri na yeye akaweka utaratibu wa kuheshimu Kwa wengine wa chini yake..

Kingine utoaji wa maagizo hadi siku za sikukuu na weekend ya kufukuza na kuteua huleta picha ya kama kuna dharura au Jambo ambalo haliwezi kusubiri wakati hao hao wanaotumbuliwa wanakuja kuteuliwa tena

Mara nyingi watu wenye mbishe hizo ni Misifa's camp! Watu wa MAKIKI kwa Mapikipiki.
 
unatuchelewesha sana! tunatakiwa kukimbia tumechelewa sana.
 
Imekuwa kawaida Sana kusikia Rais anateua na kutengua siku za weekend au
Hata usiku wa manane..

Taarifa zimekuwa kila mara zinapotoka hazijali kabisa ni saa ngapi na siku gani..
Hata siku za sikukuu watu wametenguliwa na kuteuliwa..

Rais anatakiwa awe mfano Kwa waajiri wote na wakuu wote wa kazi..

Katika Taifa ambalo waajiri hawaheshimu Sana masaa ya kazi na siku za kupumzika..Rasi no vizuri akawa mfano bora ..

Ili watu wa chini yake wasitumie hayo mazoea ya Rais kunyanyasa watu wa chini
Na kuwafanyisha kazi na kufukuza na kuajiri bila kujali sikukuu au weekend au ni usiku...

Kama Rais hajali nini kitamzuia waziri au mkurugenzi kupitiliza masaa ya kazi Kwa kujifanya ni kuna Jambo muhimu Rais kaagiza?..

Nini kitazuia hata watu wa chini kutoa maagizo Kwa kuwapigia simu watu usiku au siku za weekend au za sikukuu?

Hata kama Rais ana utaratibu wake kaweka WA kufanya kazi weekend na sikukuu ..Yeye Rais Hana mtu wa juu anaempa maagizo...yeye anaweza kuamua wakati gani gani apumzike au afanye kazi..ni vizuri na yeye akaweka utaratibu wa kuheshimu Kwa wengine wa chini yake..

Kingine utoaji wa maagizo hadi siku za sikukuu na weekend ya kufukuza na kuteua huleta picha ya kama kuna dharura au Jambo ambalo haliwezi kusubiri wakati hao hao wanaotumbuliwa wanakuja kuteuliwa tena
Kuheshimu KATIBA tu imekuwa mtiti ndio mnataka aheshimu siku za mapumziko na masaa ya kazi!!....acheni utani bhasi!
 
Muda wa miaka mi 5 ni mchache sana...wacha watu wachape kazi hata siku za sikukuu. Huko ndio kuji sacrifice kwa maendeleo ya wote.
 
Imekuwa kawaida Sana kusikia Rais anateua na kutengua siku za weekend au
Hata usiku wa manane..

Taarifa zimekuwa kila mara zinapotoka hazijali kabisa ni saa ngapi na siku gani..
Hata siku za sikukuu watu wametenguliwa na kuteuliwa..

Rais anatakiwa awe mfano Kwa waajiri wote na wakuu wote wa kazi..

Katika Taifa ambalo waajiri hawaheshimu Sana masaa ya kazi na siku za kupumzika..Rasi no vizuri akawa mfano bora ..

Ili watu wa chini yake wasitumie hayo mazoea ya Rais kunyanyasa watu wa chini
Na kuwafanyisha kazi na kufukuza na kuajiri bila kujali sikukuu au weekend au ni usiku...

Kama Rais hajali nini kitamzuia waziri au mkurugenzi kupitiliza masaa ya kazi Kwa kujifanya ni kuna Jambo muhimu Rais kaagiza?..

Nini kitazuia hata watu wa chini kutoa maagizo Kwa kuwapigia simu watu usiku au siku za weekend au za sikukuu?

Hata kama Rais ana utaratibu wake kaweka WA kufanya kazi weekend na sikukuu ..Yeye Rais Hana mtu wa juu anaempa maagizo...yeye anaweza kuamua wakati gani gani apumzike au afanye kazi..ni vizuri na yeye akaweka utaratibu wa kuheshimu Kwa wengine wa chini yake..

Kingine utoaji wa maagizo hadi siku za sikukuu na weekend ya kufukuza na kuteua huleta picha ya kama kuna dharura au Jambo ambalo haliwezi kusubiri wakati hao hao wanaotumbuliwa wanakuja kuteuliwa tena
Hofu yangu hasa ni moja tu kwamba kwa jinsi Watanzania tunavyopenda Kumpangia ya Kufanya JPM ipo Siku tutampangia hadi ratiba ya Kunya.
 
Tofautisha JPM na Rais..
Rais ni cheo..yeyote atakae kaa pale
Ni muwakilishi wa wananchi
JPM siku akiacha urais hakuna atakae shauri aishi vipi maisha yake..

Ushauri Kwa Rais Una apply Marais wote
Wa sasa na watakao kuja baada yake
 
Tokea awe hivyo ( Rais ) mwaka 2015 Watanzania wamemshauri / tumemshauri mambo mengi tu ile je, hadi leo hii ametusikia au katupuuza mno?
 
Back
Top Bottom