Rais 2015 ni Prof.Lipumba toka CUF

Hivi Lipumba atagombea tena. Ameanza kugombea toka nipo Primary-nishamaliza chuo na nafanya kazi past 9yrs. Kwa nini asiwape watu wengine nafasi? SELFISHNESS.
 
Hiyo chenji ya Meli za Iran (miradi ya CUF) haimtoshi? au bosi wake Maalim Seif anampunja?
 
na admire kuto kukata tamaa kwa mashabiki wa huyu mtu aisee. Cuf ilisha kufa 2010 lakini bado kuna mashabiki wanao jipa moyo kuwa ita fufuka.

labda kwa kura yake moja ili chama liliishajifia kitambo, rip cuf
 
[h=2]
Rais 2015 ni Prof.Lipumba toka CUF[/h]
Kama unataka au hutaki ndio hivyohivyo!



[h=2]
Seif Al-Islam atoroka gerezani Libya[/h] https://www.jamiiforums.com/international-forum/275633-seif-al-islam-atoroka-gerezani-libya.html


[h=2]
Internet inapunguza nguvu za kiume?[/h]
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/199732-internet-inapunguza-nguvu-za-kiume.html
 
Actually mimi nilimpigia kura Lipumba katika Uchaguzi uliopita. Na ubunge nilimpigia kura Mbatia,awe mbunge wa Kawe. Lakini katika Uchaguzi ujao,nitaipigia CCM. nimeshaona hawa wapinzani......
 


CDM hawako madarakani, walio madarakani ni CCM. Siku nyingine ukipewa notes kabla ya kuzipost hapa soma kwanza ili kuepuka aibu.

Na huyu Lipumba wako, kama chama kimoja tu kimeshinda atawezaji nchi? CUF ni idara ya CCM sasa hivi no wonder umejisahau na ku-attach chama kilicho nje ya madaraka!
 
Actually mimi nilimpigia kura Lipumba katika Uchaguzi uliopita. Na ubunge nilimpigia kura Mbatia,awe mbunge wa Kawe. Lakini katika Uchaguzi ujao,nitaipigia CCM. nimeshaona hawa wapinzani......

CCM ipi utakayo ipigia kura? maana CCM ya sasa is a collection of splinter groups. Wewe unavutiwa na splinter group gani?
 
hahahahahahaaaaaa...., imekula kwenu. huo mpango wa kuleta Muislam hautatudanganya tena watz bali tutaangalia uwezo wa mtu. Sasa mnahaha, mara rais awe mwanamke ili aje Migiro, mara rais atoke Zanzibar au awe Zitto, hatudanganyiki. Lipumba huyo ata akiend akwa Mganga wa kienyeji toka Nigeria. Alituwin jk, ana bahati nae.
 
Hahahaha!ye mwenyewe haliamini hilo usemalo
 
Sikujua kumbe mkuu una kipaji cha utabiri kama Marehemu Yahaya!!!! Duh.
Kumbe Lipumba bado ana ndoto za urais!!!
Kaaazi kwelikweli!!!!!!!
 
wa tz hatujafikia uendawazimu wa kumpa urais mpiga disco wa form 4 na tukamwacha profesor wa kweli kwa ajili ya udini wenu
 
Humo nilimo BOLD....yaani hapo ndipo mnapobuki na kujitia aibu kwa wasomaji wanaofuatilia siasa za Tanzania kupitia
mitandaoni. Hivi hiyo CDM ndiyo chama tawala? kwataharifa yako humo nilimoBOLD ulitakiwa uandike ccm na siyo CDM.
Hivi kwa mtindo huu watu wakisema CUF ni ccm B utabisha?
 
Na admire kuto kukata tamaa kwa mashabiki wa huyu mtu aisee. CUF ilisha kufa 2010 lakini bado kuna mashabiki wanao jipa moyo kuwa ita fufuka.

Chadema tunaiaga 2015,na hii inatokana vyama vya upinzani kukosa ushirikiano Tumaini letu sasa limebaki kwa mgombea Bina fisi.
 
wa tz hatujafikia uendawazimu wa kumpa urais mpiga disco wa form 4 na tukamwacha profesor wa kweli kwa ajili ya udini wenu
Uchaguzi wa mwaka 2000 na 2005 wakati CUF inanguvu na ushawishi kwa jamii nakumbuka yaliibuka maneno kuwa CUF ni
chama cha kidini cha waislaam....Je ni kweli kilikuwa ni chama cha kidini? Na ni watu gani unahisi walihusika kusambaza hiyo kitu? nasubiri majibu
 
wa tz hatujafikia uendawazimu wa kumpa urais mpiga disco wa form 4 na tukamwacha profesor wa kweli kwa ajili ya udini wenu


Wangapi, wasomi lkn wanafanya MADUDU sirkaln. Hekima, ujasiri na uelewa wa mambo yayokidhi maslahi nan maendeleo ya watu ndio mtu tutakaye mpa URAIS.Hatuaangalii huyu PROF/PHD, km nyie hicho ndo kigezo aendelee kuwa Mwenyekiti mpaka mmpate Prof mwingine..........
 
Tatizo lako unadhani unamsaidia Lipumba kwa kumuanika hapa kumbe unamdhalilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…