City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,097
- 12,013
Wewe huwajui viongozi wa juu vizuri. Labda ungesema una mapenzi nae binafsi. Hiyo mtu poa sana huwa ni kwa wale watu wake tu, kwa washindani wake hugeuka kuwa shetani.Mange kamwe hawezi kumsema JK vibaya. JK ni mtu poa Sana. Huku Skendinevia ndie kiongozi pekee wa Africa anaheshimiwa sana. Najua mwamba ataingilia kati wasimuue polepole. JK kaja kubadilika kwa sababu ya uzee na dementia.