Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,310
- 4,207
Hivi ni kweli hizi tetesi na uvumi Raila na Born town wako Hoi hawawez kuinuka hata kitandani.
Ama ni story na porojo za wambea vijiweni wakishashiba na kuvimbiwa na kande?
Magonjwa Mtambuka Una roho mbaya Sana.
adriz The Consigliere
Ama ni story na porojo za wambea vijiweni wakishashiba na kuvimbiwa na kande?
Magonjwa Mtambuka Una roho mbaya Sana.
adriz The Consigliere