mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,855
- 8,251
Raila alisema siasa za Kenya zinatakiwe zijadiliwe na Wakenya bana,alisema Mombasa,sasa sisi wa TZ ngoja tukae kimya I wish Raila angekuwa Mtz ,angeinyorosha TZ,sasa ngoja nikae kimya ila big up kwa JF kwa kuleta hii maneno ya JF kwa pande ya Kenya hiyo ndio EA bana