Raila Amolo Odinga: The road towards Presidential elections 2013

Last night Railas fund raising dinner imechangisha zaidi Ksh 20 million to finance ODM campaign.
 
Namkumbuka Jaramogi Odinga Oginga (RIP), mwanasiasa mkongwe aliyemfanya D.T.Arap Moi akomae kisiasa kwa usumbufu wake wa kutaka maendeleo endelevu bila kuwa na "excuses"....Aliwahi kumfuata Moi uwanja wa mpira na kumwambia Mr President huu si wakati wa kula starehe uwanjani, ulipaswa kuwa ofisini kwani una "appointment" na watu na wanakusubiri, kumbe alikuwa anamtania tu, Ingawa akina Obuya, Odinga, Obama na wengineo hawana utani na Wakalenjin. Moi aliondoka na alipofika ofisini kulikuwa na shughuli za kawaida tu, na wal hapakuwa na mtu anayemsubiri....Off course hakuwa na kumbukumbu kama alikuwa na appointment ama la!!:party:

Hivyo Sishangai Odinga J. Oginga akiwa CIC (Commander-In-Chief) wa Kenya.
 
Nina mashaka na mchezo anaoucheza Musyoka , yuko na Rutto, Kenyatta na hawa wana kesi The HAGUE hivi ikitokea wakawa na kesi ya kujibu , ni dhahiri kwamba Musyoka atakwenda to sympathisize na wakikuyu na watu wa rift valley for support na kazi itakuwa ngumu kwa raila
 
Kinacho wasumbua wagombeaji wengine wote wa urais ispokuwa Martha K ni rushwa na kutumwa na baba zao...Raila vigogo wengi wanamwogopa kwa kuwa si mchafu kama wao....Go Raila go go!!!!
 
Back
Top Bottom