Raila Amolo Odinga: The road towards Presidential elections 2013

Crucial Man

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
3,404
1,307
A salaam wakuu,

Nimekuwa nikifuatilia kwa mbali siasa za majirani zetu kenya.nimetokea kuvutiwa na huyu waziri mkuu odinga.huyu jamaa anaonekana reformist kwa jinsi anavyo endesha siasa zake.

Kinachonipa wasiwasi ni jinsi huyu mh Odinga anavyopigwa fitina na wanasiasa wa Kenya. Watu wako tayari waungane ili mradi Odinga asitawale. Hivi ni kwanini? Je, Odinga ni dictator kama wanavyodai wapinzani wake?

Kwa maesabu ya haraka haraka naona kama vile Mr. Odinga ana kibarua kigumu kushinda uchaguzi ujao, lakini bado nina imani kwamba he is the best rais mtarajiwa.
 
Beware of the unholy alliance Mudavadi-Ruto-Uhuru a clear and present threat to Raila triumph.
 
Beware of the unholy alliance Mudavadi-Ruto-Uhuru a clear and present threat to Raila triumph.

its not unholy per se but though Raila has done many reforms for Kenya he has equally created too many enemies. *all of his insiders are against him now* . To summarise, the above alliance without any doubt is a death sentence to Raila's political carreer. Politics aint ma thing though
 
this is not the first time they gang agaist him.
 
KAKA
Odinga ni moto,huyu ni jamaa wa matendo na sio porojo,na hii ndio inasababisha waungane,kwani wanaelewa kuwa akisha madaraka imekula kwao hususani wale wala rushwa
 
KAKA
Odinga ni moto,huyu ni jamaa wa matendo na sio porojo,na hii ndio inasababisha waungane,kwani wanaelewa kuwa akisha madaraka imekula kwao hususani wale wala rushwa

hata mimi nayani huyu jamaa nikiboko.kwa sababu wanasiasa wengi wanamgwaya sana.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Siasa za Kenya hazitabiriki lakini jambo moja lilowazi Raila Odinga ni mwanasiasa shupavu sana wakati mwingine unashangaa wanasiasa kama Ruto, Uhuru na sasa Mudavadi wanaungana dhidi yake ili kumzuia asiingie Ikulu tu hawana agenda ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Kenya hoja yao ni moja Raila Odinga hafai !.
 
this is not the first time they gang agaist him.

it is the first time according to pundits. The year that preceeded the 2007 elections this fella successfully marshalled all tribes against one and to be fair his presidency was stolen from him. What he considered his support base such as Kalenjin land he has lost dat to RUTO, the luhya vote is being spoilt by Mudavadi and eugene wamalwa....(if this two unite Odinga looses western again), Central and GEMA areas are predominatly pro Uhuru and Raila doesnt stand a chance there.

I would want this fella to cling to power following his track record but he has too many enemies. If the Uhuru-Ruto-Musalia comes to fruition Raila is down bila doubt as it means Musalia and Eugene are speaking one voice on the western block leaving Raila with Nyanza only. If you allow, i will disengage from matters delving on politics.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Siasa za Kenya hazitabiriki lakini jambo moja lilowazi Raila Odinga ni mwanasiasa shupavu sana wakati mwingine unashangaa wanasiasa kama Ruto, Uhuru na sasa Mudavadi wanaungana dhidi yake ili kumzuia asiingie Ikulu tu hawana agenda ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Kenya hoja yao ni moja Raila Odinga hafai !.
Ngongo,

Hivi bado mambo ya jamaa zangu yanaendeshwa within tribalistic lines? Vinginevyo kama ni mtu wa matendo kuliko maneno, he should lead the country. Africa tunahitaji viongozi wa aina hiyo sasa hivi
 
Last edited by a moderator:
Raila has suporters across the country. Ukija western, wapo watu kama Ababu Namwamba, Fred Gumo nk, ukienda Mombasa ana strong suport from the muslims, though kakimbiwa na Balala.

Bonde la Ufa bado kuna wabunge kama Frank Bet/Dr Kosgey nk ambao ni washiriki wake wa karibu, even Central Province kuna tetesi kwamba Martha wa Karua anaweza akaugana na Raila.

Remember that, all the groupings are tribal except ODM.
 
Ngongo,

Hawana hoja, hoja yao ni kumzuia Odinga. Sijui kwanini wanamchukia au kumuogopa kiasi hicho?
 
Last edited by a moderator:
Raila has suporters across the country. Ukija western, wapo watu kama Ababu Namwamba, Fred Gumo nk, ukienda Mombasa ana strong suport from the muslims, though kakimbiwa na Balala.

Bonde la Ufa bado kuna wabunge kama Frank Bet/Dr Kosgey nk ambao ni washiriki wake wa karibu, even Central Province kuna tetesi kwamba Martha wa Karua anaweza akaugana na Raila.

Remember that, all the groupings are tribal except ODM.
Twende nipate bro. Hapa we are always united. Hehe...dirty linen tunaanika home :)

No secret, Kenya operates under Kingpings....Ruto, commands Riftvalley 98%, Central and GEMA under uhuru, 99.9%, western under Musalia and Eugene...combined effort of 70%... probably the weak link but they make the Big Three tribes in Kenya.

Coast region votes are up for grabs but its too early to predict, the trio havent done a combined campaigned to judge the masses. Ata ww unajua akina Franklin Bett will run, Ababu will stick to Raila, he even swore allegiance to him and not Kibaki in parliament, Khalwale will neutralise him, you forget Sirisia Member Wetangula is against Raila.
 
They may all gang up against the guy but in politics nothing is predictable he still go on and win!!
 
Though hawa matribal kingpins wamegang up kublock mr odinga,but he is still a darling of many Kenyans, the recent opinion palls shows that raila is still the most admirable politicia in Kenya.

Thd tribal groupings will to stop his journey to state house. We should not forget that UK, and Ruto may not apear in balot papers, their fate is in CJ's hand. Am sure that they will suport mudavadi, but Mudavadi sio mtu wa kuaminika hana maamuzi, he is like comrade Kalonzo.

Mudavadi is a KANU project, I dont think Kenyans has something to do with KANU. I strongly believe that Mr PM is the next Kenyan president.
 
Even if they do combined campain, they have nothing to reasonable to tell the people, Rather than mudsliding Odinga.
 
Though hawa matribal kingpins wamegang up kublock mr odinga,but he is still a darling of many Kenyans, the recent opinion palls shows that raila is still the most admirable politicia in Kenya.

Thd tribal groupings will to stop his journey to state house. We should not forget that UK, and Ruto may not apear in balot papers, their fate is in CJ's hand. Am sure that they will suport mudavadi, but Mudavadi sio mtu wa kuaminika hana maamuzi, he is like comrade Kalonzo.

Mudavadi is a KANU project, I dont think Kenyans has something to do with KANU. I strongly believe that Mr PM is the next Kenyan president.
Heshima zako mkuu Crucial Man...

Waona ninayoyaona, kusema ukweli nampenda Raila but hali ni tete kwake. Kila uchao anapoteza kitu kama si mwanachama mwingine. Umaarufu wake unadidimia pia katika kila pollster but bado yeye ni mwanasiasa maarufu.

Tungoje tuone yatakavyoelea kisa kampeni hazijashika kasi bado. Natumai vurumai haliitatuandama tena kama wakenya. Hilo ndilo la Muhimu, atakaye pata uongozi hatanizawadi ama kunilisha.
 
Last edited by a moderator:
livefire, hebu nisadie...

With the new Constitution, how is it possible kwa Rutto & Uhuru to stand for the highest seat in the land while ICC saga is still on? Wananchi wako ok na hiyo au wawili hawa ni mibuyu na hivyo hawagusiki?
 
FJM,

They can't stand but these guys are on a vengeful mission. To discredit Raila and they wield the power to snatch the presidency from Raila. Whoever they give there blessing is likely to garner all their votes from their regions/backyards.... Mudavadi/Eugene dont completely stock the western vote but with Uhuru and Ruto marshalling it for the them Railas hold in Western pockets will be dislodged.

It's a vengeful alliance FJM.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FJM
livefire, hebu nisadie...

With the new Constitution, how is it possible kwa Rutto & Uhuru to stand for the highest seat in the land while ICC saga is still on? Wananchi wako ok na hiyo au wawili hawa ni mibuyu na hivyo hawagusiki?
FJM,

Ombi zuri sana, mkuu livefire ebu tupe ndondondo kama sio chururu.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom