Ndio hapa nilikua naongea na mtu my dear nikamuambia hivyo hivyo na kumsikilizisha kama si kumuonesha hio videoIle prophecy inasemq state funeral zitaongozana
Kenya ,tz na ug ....
Moja hiyo tayari
Next ss naomba Mungu aendelee na kazi yake....
Maboga yanateseka mno mitaani.Muite mwenyewe akwambie. Lakini za chinichini nimeskia matunda kama papai yanapata tabu saaana. Kwa bahati nzuri hayabebi mimba tu. Sijui tungeweka wapi nyuso zetu
hahahahaaaaa... Huendi mbinguni mbwa weweMaboga yanateseka mno mitaani.
Natubu mbele ya mungu πhahahahaaaaa... Huendi mbinguni mbwa wewe
heheh yaani issue za makabila ni nzito sana kenya π π eti haswa wale wa kabila flanDuh! Msiba mzito sana huu kwa Wakenya, na hasa wale wa jamii yake ya Wajaluo.
Namfananisha Odinga na Lowassa
Wote wamekufa na ndoto zao za Urais
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu hupita!!
UpuuuziAcha kumfananisha Odinga na mambo ya kipuuzi.
Odinga anafanana na Maalim Seif