NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,440
- 2,450
Tatizo hawa wavaa uniform ukiwaheshimu wanaona wanaogopwa huo ndio mfano halisi, nimecheka kama mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe upo my dear...!
Tatizo hawa wavaa uniform ukiwaheshimu wanaona wanaogopwa huo ndio mfano halisi, nimecheka kama mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm nmecheka sana kna askari hapo kabaki sjui kama alipona aiseTatizo hawa wavaa uniform ukiwaheshimu wanaona wanaogopwa huo ndio mfano halisi, nimecheka kama mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiona wamezidiwa wanawaachia mpambane na corona,hapo ndio itafahamika kweli mnaweza kugawa kichapo au mnaweza kugawa maandazi tu.Kuna kenge moja leo imenibishia ati watu watakaa ndani kuvumilia njaa kwa kuogopa korona nikaona huyu hajui tafsiri ya njaa na kukaa ndani nikampuuza..
Ila raia wanagawa kisago kushinda hata polisi sasa kuna haja ipi ya mazoezi ya kipolisi wakati mtaani Kuna njemba zipo fiti polisi wakasome!!😜😜
Ahaaha we jamaa ulikula ban nini... Huonekani halafu leo umeniibukia.
Hahah jamaa walinipiga ban ya kikuda tu kama kawaida yao,nilikua nakuzingua tu mkuu.Ahaaha we jamaa ulikula ban nini... Huonekani halafu leo umeniibukia.
Duh pole mkuu siku hizi ban ni kugusa tu.Hahah jamaa walinipiga ban ya kikuda tu kama kawaida yao,nilikua nakuzingua tu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
2 Wafalme 6:25-29 Njaa ikawa kuu huko Samaria; na tazama, wakauhusuru, hata kichwa cha punda kikapata kuuzwa kwa vipande themanini vya fedha, na kibaba cha mavi ya njiwa kwa vipande vitano vya fedha. Ikawa mfalme wa Israeli alipokuwa akipita ukutani, mwanamke mmoja akamwita akisema, Unisaidie, bwana wangu, mfalme. Akasema, Bwana asipokusaidia, nikusaidieje mimi? Ya sakafuni, au ya shinikizoni? Mfalme akamwambia, Una nini? Akajibu, Mwanamke huyu aliniambia, Mtoe mtoto wako, tumle leo, na mtoto wangu tutamla kesho. Basi, tukamtokosa mtoto wangu, tukamla; nikamwambia siku ya pili, Mtoe mtoto wako, tumle; naye amemficha mtoto wake.kweli kwenye njaa unaweza kumtafuna binadamu menzako rejea kisa cha wle jamaa waliopatwa ajali ya ndege wakaamua kula maiti
Sio mmoja walivyokuwa wanapeana zamu ya kuanguka jiwe moja hanyanyuki tenaHata mm nmecheka sana kna askari hapo kabaki sjui kama alipona aise
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo naangalia wavaa uniform kimewanukia hata sijui wanakimbilia wapi 😀😀😀Kumbe upo my dear...!
Wewe ni me au keSijui kwanini Tanzania huwa tunaogopa police wakati sisi ni wengi wao wachache ni kukosa umoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Muendelee kunawa mikono kwa sabuni na kutumia vitakasa mikono vyenye mchanganyiko wa Alcohol isiyopungua 60%.Freebasics mnatusaidiaje sasa
Pamoja mkuu.Duh pole mkuu siku hizi ban ni kugusa tu.
Usijali tupo pamoja.
Watanzania hichi kitu hawawezi kukijaribu hata kwa sekundeHuko India police wamekutana na balaa
Kutoka kwa raia, hii corona imeleta balaa juu ya balaa
Ova
View attachment 1404183
Sent using Jamii Forums mobile app
Freebasics mnatusaidiaje sasa
Weka namba tukuunge kifurushi
Muendelee kunawa mikono kwa sabuni na kutumia vitakasa mikono vyenye mchanganyiko wa Alcohol isiyopungua 60%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe!!! Wacha nikae bila bando tu
watanzania hawaogipi polisi bali hawapendi makuu ila siku wakisukumwa kwenye kona ndio itawalazimu kuwa hivyoSijui kwanini Tanzania huwa tunaogopa police wakati sisi ni wengi wao wachache ni kukosa umoja
Sent using Jamii Forums mobile app