Raia wawabadilikia police

Raia wawabadilikia police

Tukiungana tunaweza kuwatoa manyumbu madarakani,huu kwetu ni mfano hai na fundisho yakipi tunatakiwa kufanya,
Pengine kwetu KORONA ndo akawa mkombozi na mwisho wa Mafisi ya LUMUMBA

Sent using Jamii Forums mobile app
Jidanganye siku hiyo hutaamini yan unabaki pekeako wafuasi wako wote wanakugeuka, usiombe yakukute.

Utapigika kama kama mbwa mwizi siku hiyo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom