EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
Raia wa Marekani anayepigana na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine ameuawa.
Stephen Zabielski, 52, "alifariki siku ya Jumapili, Mei 15, 2022, wakati akipigana vita katika Kijiji cha Dorozhniank, Ukrainia,"
Habari hizo zilikuja baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kubaini Mmarekani wa tatu kuwa hayupo nchini Ukraine. Wapiganaji wengine wawili wa zamani wa Marekani waliopotea nchini Ukraine, Andy Huynh, 27 na Alexander Drueke, 39 wamezuiliwa na jeshi la Urusi.

BREAKING: Takriban au zaidi ya wanajesh wa ukraine 500 wa Brigedi ya 59 wameuwawa baada ya workshop ya kutengeneza meli walipokuwa wamejificha uko Nikolaevk kuharibiwa vibaya na makombora. 
wameuwawa na wengine kujeruhiwa