Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,574
- 38,169
Ukiishakua shoga basi unaunga mkono west kwa 100%Zanzibar na Ukanda wote wa Pwani kuanzia Mombasa mpaka Lindi/Mtwara kuna Idadi kubwa sana ya mashoga.Kwa hiyo Wazanzibar walio wengi na wakaazi wengi wa ukanda huu wa pwani wanaunga mkono West?
Ila wakazi wahuko wengi mashoga wameupata wapi ZNZ pale sijui kwasasa kuna miaka kama misaba ama minane nyuma
Lilikuja meli la kitaliano humo sharti uwe mwanachama wa LGBTQ+
Tena kanda za pwani wanazipenda kujenga hotel ili kuendeleza ushenzi wao
Sent using Jamii Forums mobile app