Raia wa Urusi akataa Ushoga hadhani!

Raia wa Urusi akataa Ushoga hadhani!

Kuna mstari mwembamba sana baina ya kuwaunga mkono west na kuupinga ushoga tena mwembamba haswaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Zanzibar na Ukanda wote wa Pwani kuanzia Mombasa mpaka Lindi/Mtwara kuna Idadi kubwa sana ya mashoga.Kwa hiyo Wazanzibar walio wengi na wakaazi wengi wa ukanda huu wa pwani wanaunga mkono West?
 
Vilianzia Crimea vitaishia Crimea.
Sawa
Screenshot_20230115-124537.jpg
 
Hiyo sio shida shida ni kwanba je nchi ina mtazamo gani kuhusu ushoga?
Anayepinga ushoga urusi ni putin peke yake lakini sasa it is good for nothing raia wake wanauhusudu ushoga nimekupa mfano kama huko kwenu
 
Anayepinga ushoga urusi ni putin peke yake lakini sasa it is good for nothing raia wake wanauhusudu ushoga nimekupa mfano kama huko kwenu
Hata Tz bangi hawaruhusu lakini kama taifa ni kosa kuvuta bangi!!

Issue ya msingi ni kwamba Urusi ushoga hautakiwi full stop!!
 
Ni mfuasi wa USA, WEST ila sikubalianj na ushoga

Kanisa Anglican huko marekan wameruhusu mxhungaji shoga, mbona Anglican TZ wamekataa?

Kuunga au kutokuunga mkono West or Russia hakuna uhusiano na ushoga

Waarab? Kuna wanaopenda huo mchezo kama hao? Mbona kama nchi hamna iliyoruhusu
Upo uhusiano,tena mkubwa
 
Brainwashed!
Hao mashoga kinobdoni wamefundishwa na marekani?
Unachojaribu kubisha hapa hata hakieleweki.!?
WEST na USA ndio wanajipambanua kupitia makanisa,michezo na siasa kutetea huo usheitwani.

Ulishawahi sikia serikali ya tanzania isapoti au kutetea?
 
Brainwashed!
Hao mashoga kinobdoni wamefundishwa na marekani?
Wamejifunza wenyewe ila wanasapotiwa sana na marekani

Nenda kasome vile viandishi pale kwenye ile USAID au UKAID ndio utaelewa

Ushoga tatizo ila unapopigiwa promo ndio unakua tatizo zaidi

Nakukumbusha tu msemaji wa nyumba nyeupe pale US ni msagaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom